@muuh_furniture: Bubble Beds Classic Size: 5*6 Color: Black Chaguo bora kwa wapenzi wa muonekano wa classy na elegant 🖤 Rangi ya Black inaleta mvuto wa kipekee na heshima ya hali ya juu ndani ya chumba chako. Imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu, ikiwa na finishing laini na muundo imara unaodumu kwa muda mrefu. Inakupa comfort ya hali ya juu pamoja na style ya kisasa inayovutia kila anayeiona. Ni kitanda kinachochanganya luxury, durability na simplicity kwa pamoja — perfect kwa bedroom ya kisasa ✨ Usikose nafasi ya kuboresha chumba chako kwa muonekano wa tofauti! 📞 0795325436 / 0624568009 📍 Mabibo & Kigamboni Bei: 360K #muuhfurniture #bubblebeds #classicbed #luxurybed #furnituretz