@kwarotv: Daah kila nikiskia huu wimbo nakumbuka kabisa kuwa sina cha kupoteza never back down😔 #taarifanaburudani🙏

KWARO TV
KWARO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 April 2026 15:11:27 GMT
462891
23770
326
657

Music

Download

Comments

rabateysadahni
Rabatey Sadahni :
tuliozani wavuta bangi tu apo zamani ila Leo hii tumefaham mazingatio yake ebu mkuje kuweka like apa
2026-04-17 10:31:05
213
28101010jummy
jummy :
Zamani tulikuwa tunaona nyimbo za wauni, walevi kumbe sisi ndio yalikuwa hayajatufika wenzetu walikuwa mbele ya muda😓😓😭
2026-04-17 16:42:52
120
isha.bebe1
Isha bebe :
Dah hii nyimbo naikubali sana
2026-04-17 08:42:01
60
ksnsabari
shukrani 912🇴🇲 🇹🇿 :
uwiiiii hii nyimbo wallah iwezi saulika
2026-04-17 04:08:00
43
madamconso
vanillah❤️ :
inaitwaje hii nyimbo kaimba nani
2026-04-17 17:08:11
15
zuuh14_09
Being_Zuuh♍👑 :
Lakini saawaaa Mungu ndo alivyotupangia
2026-04-17 11:04:50
22
waziri.mussa53
Waziri Mussa :
Zamani nilijua wahuni walikosa kazi kumbe ni maana karne hii,
2026-04-17 14:29:33
41
maryamu018
maryamu :
Dah kitambo Sana jaman hii nyimbo ni nyimbo bora Sana ya mnanda
2026-04-17 14:12:58
17
khadja2005
dija :
naumia sana kusikiliza.hii nyimbo
2026-04-17 17:11:20
16
marymaxmilian0
MamaB 🍰 :
nikimiss kulia naweka hii nyimbo na hii life yangu uwiiiii Mungu nijalie riziki niwape wanangu urithi
2026-04-17 11:59:02
9
furaha6998
William scorpion 🦂 :
duh huu wimbo utaishi milele 🤟
2026-04-16 19:01:23
26
cana.barbershop.d
CANA BARBERSHOP DODOMA :
bonge la nyimbo
2026-04-17 05:01:53
8
allyngwale2
Ally Ngwale :
unanikumbusha mwaka 1994 yani nakumbuka mbari sana
2026-04-17 15:01:00
5
kidawa260
Kidawanambala@26 :
2026-04-17 08:39:52
7
user5742454567404
Nzeba :
Inanikumbusha nakayangu yajwanza nakuja Tanzania Dar salamu natoka bujumbura nakumbuka mengi Alhamudulillah 🤲🤲🤲😭😭😭😭😭
2026-04-19 10:00:35
5
ramadhani.botea5
RAMADHANI BOTEA :
katka tungo zote za marehemu baba j hii nyimbo alitunga vyema sana mwenyenzi mungu ampe kauli thabit naikumbuka nikiwa tandale baba j pumzika kibao kizur
2026-04-19 05:37:09
6
k.pasopa32
pasopa 3️⃣2️⃣ :
jagwa music 🎵
2026-04-16 22:37:51
9
track.me05
track me :
dar
2026-04-17 05:20:26
6
.the.immortal.man
☆Dereva_wa_Mwanangu☆. :
twende naooooo👏
2026-04-16 21:26:16
5
dax__charry
MEDY__🧸✌️ :
ALLAH ❤️
2026-04-16 20:38:19
5
fikirino.days.off
@FIKIRI#NO DAYS OFF :
😭😭😭😭😭
2026-04-19 10:58:25
1
kibago10
dady ruzaina :
tbt
2026-04-19 11:32:56
1
user2024718381526
Hb mtandaya :
long sana.iinyimbo zilikuwa na namafundisho,ongeren sana
2026-04-29 17:42:56
2
To see more videos from user @kwarotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About