@walkingprayer: Kyela, Mbeya #kyela #Mbeya #fyp

Joshy mwemsi
Joshy mwemsi
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 April 2026 15:44:00 GMT
27208
1426
97
103

Music

Download

Comments

annadavid394
annadavid394 :
Daa machozi yamenitoka nimekumbika kwetu ngonga walipolala wazazi wangu. asante kwa picha hii ubarikiwe sana🙏🙏🙏
2026-04-17 13:54:00
10
zaituni519
Zaitun🦋🌺 :
Daah nimekumbuka mbali njia ya kwenda kwa Bibi angu Bujonde 🥰
2026-04-16 23:44:00
8
2ke035
2ke :
Umenikumbusha mbali sana njia ya kwenda kwa mama yangu pumzika kwa amani mama yangu kipenzi 💔
2026-06-04 08:23:04
5
mcisunga
Isunga :
mweeee kukajha Lugombo Nsesi moja lazima upite hapo 🥰🥰🥰
2026-04-17 19:10:23
5
joshsbaby1
simply_.Tina💕 :
mmenikumbusha mbali njia ya kwenda bujonde kwetu 🥰 nifanye tu nirudi kwetu kyela😔
2026-04-17 18:42:55
7
user7801715943700
sky E :
tumeoga sana hapo chin ya daraja
2026-04-17 17:54:54
4
mzazi__
mzazi__ :
Daah Home Boy kumbe 🙌🙌
2026-04-19 05:11:09
3
kistadu
nord :
Shule ya msingi ipyana 2013 dalasa la saba nimeua apo 🙌🏻🙌🏻
2026-04-18 14:11:25
2
vk180881
victor :
Ngonga 1
2026-04-17 09:45:05
4
obbey32
@Obbey🦋💜 :
Oooh nyumbani😊
2026-04-18 07:23:06
2
kidotii430
love kidoti🌹🥰 :
Bujonde nyumbani
2026-05-20 06:57:13
2
t.jlawry
loreen💙 :
Nimemis home🥺🥺🥺🥺
2026-04-20 15:06:25
1
officialrose047
officialrose :
Nyumbani kabisa
2026-05-22 19:40:21
2
user3570858193925
Mary jacob :
kabisaaaaa
2026-04-18 10:20:19
1
qualifiedman_clo
qualifiedman_clo :
Nyumbani 💪
2026-05-10 10:08:41
1
neemajuama
neema cosmetics :
nikeoga sana hapo na tumesoma shule ya msingi ipyana nimekaa kota ya uhamiaji hapo jamani nakumbuka mbali sana
2026-04-18 10:15:31
2
beachboy.outfits
Beachboy outfits :
Nyumbani
2026-04-17 21:29:13
1
eneandemelela
Enea Ndemelela :
nyumbani
2026-04-17 08:59:31
0
innocent.man973
FYADE MAN💪💯 :
kama we ni WA kyela comment nikufollw unifolloback
2026-04-18 05:42:33
9
robsoncame
Tully robson :
nimekumbuka mbali jamani nyia ya kwenda kwa bibi zangu jamani kabanga na ngonga
2026-04-19 22:21:18
1
mashakamo89
mo" mash :
Kitambo sana maeneo hayo, daaa .
2026-04-17 15:52:35
1
jacob.mwangosi
Jacob Mwangosi :
my home Bridge
2026-04-17 07:36:48
1
_iamcraly
craly🌻 :
Back in days😩! I miss the place so much
2026-04-17 14:07:35
2
micajoy342
divainy :
ilove you wanyakyusa nawapenda kuliko ata kabira langu
2026-04-17 19:19:51
1
officialipyana
officialipyana :
Kukaja mweee
2026-04-16 18:55:53
0
To see more videos from user @walkingprayer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About