@pazia.point.dodoma: Motorized Curtain Rail – Urahisi wa kisasa ndani ya nyumba yako ✨ Je, unajua unaweza kufungua na kufunga pazia lako bila kusimama? Ndiyo! Kwa kutumia motorized curtain rail, unapata experience ya kisasa kabisa ndani ya nyumba yako. ✔️ Unadhibiti kwa remote ✔️ Inaweza kuunganishwa na smart system (optional) ✔️ Inafanya kazi kimya kabisa ✔️ Inafaa kwa sebule, bedroom, ofisi au hotel ✔️ Inaongeza thamani na muonekano wa kifahari nyumbani Hakuna tena kuvuta pazia kwa nguvu au kusumbuka kila siku. Bonyeza tu button, pazia linafunguka taratibu na kwa ustadi mkubwa 😍 Hii ndiyo level nyingine ya comfort na luxury – nyumba yako inakuwa smart bila gharama kubwa sana. Tunatoa huduma zote: 📍 Tunakuja site kupima 📍 Tunashauri design inayokufaa 📍 Tunafunga kwa usafi na ubora wa hali ya juu Location: Nzuguni, Dodoma 📞 0684132494 Wahi sasa ubadilishe nyumba yako iwe ya kisasa zaidi! Usibaki nyuma 🔥 #MotorizedCurtains #SmartHomeTZ #PaziaZaKisasa #HomeUpgrade #LuxuryLiving