@yuzarsif2645: 🔥 DALILI ZA AWALI ZA SARATANI YA TEZI DUME 🔥 Usipuuzie ishara ndogo ndogo za mwili wako! Saratani ya tezi dume huanza taratibu bila maumivu makali mwanzoni. ⚠️ Zifahamu dalili hizi mapema: • Kukojoa mara kwa mara • Mkojo kukatika katika mtiririko • Damu kwenye mkojo au shahawa • Maumivu wakati wa kumwaga • Maumivu mgongoni, nyonga au hips 💡 Uchunguzi wa mapema unaweza kuokoa maisha!. #AfyaYaMwanaume #SarataniYaTeziDume #HealthAwareness #AfyaBora #TibaAsili

YUZARSIF
YUZARSIF
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 April 2026 06:51:26 GMT
215
2
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @yuzarsif2645, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About