@yangasportsclub1: 🔥🔥🔥

PRINCE YANGA🔰
PRINCE YANGA🔰
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 April 2026 08:51:20 GMT
206007
13276
110
216

Music

Download

Comments

sarahmussa841
Sarah Mussa :
raha sana naipenda sana timu yangu
2026-04-17 14:55:15
34
naifaty168
Nai🦋 :
Nampenda mno rais wetu allah amuweke sana😭😭😭
2026-04-17 11:06:59
40
edwardfaustine0
elufa :
mm ni Simba lakn kwa goal hili lazma niseme waoooo😁😁😁😁
2026-04-18 06:22:02
40
_navin26
Naomi💕 :
MUNGU atubariki na kulinda family zetu Wana YANGA 🙏❤️🫡
2026-04-18 07:27:54
27
wonderstones4
Bobi de saviour :
I have now started following Tz league coz of our home boy God bless Tz🙏🙏🫡
2026-05-16 03:44:23
6
user1161181770671
Noah yamal :
i love yanga so much
2026-04-18 08:05:07
4
user9942631511834
Jay_Seven_tz :
naipenda yanga yan kama ninavyoipenda familia yangu😂😂😂
2026-06-12 19:53:04
3
user8624169714584
hbeautifull :
gol tam sana
2026-04-18 14:26:32
3
najima4988
Najima :
lais wayanga salut kweko baba✋✋✋mungu akulinde2🙏🙏🙏
2026-04-18 12:25:12
4
suzi.nyangala
suzi nyangala :
mungu amjarie unyenyekevu rais wetu wa yanga na semaji wetu wa yanga mungu abariki pi nawachezaji wetu awape kunyenyekea mbele za mungu maan bila mungu awawez kufanya hvo awape nguvu na pumzi ya kutosha🙏🙏🙏🙏Amen
2026-04-18 08:48:54
3
gimmyy83
esterjozee :
mung u akupe maisha marefu rais wa yanga 💚💛💚
2026-04-17 14:12:50
14
je65218
je :
Mungu akuweke kwaajil yetu wananchiiiiiiiiii💚💚💚💚💚💚
2026-04-17 15:10:24
5
destiney_real
harriet :
pia ni anaipenda left back yake shabalala🥰🥰
2026-04-17 17:38:48
7
divinemindset10
Divine mindset :
star boy okello
2026-05-13 07:29:01
1
user4970901968213
T hom sedo :
Yanga guvu moja 💪💪💪💪
2026-04-18 18:45:25
1
hillaryotienooduo
254 :
God open doors for Okello to play in Europe
2026-05-31 22:08:08
1
user795216814062
oscar :
star boy 🥰
2026-05-26 10:40:05
1
kidabita4
KIDABITA 🇹🇿🦅 :
zimbwe namkubali tangu yupo simba mpaka sasa yupo jangwan
2026-06-08 15:27:10
1
najma.rashid11
Najma Rashid :
I love yanga🥰🥰🥰🥰🥰💚💚💚
2026-04-17 16:04:18
3
imerdaulanga
Imelda ulanga :
Kwan shabalala ni beki au mshambuliaj man so Kwa hay magoli
2026-04-19 07:59:07
1
dickymwapinga
mpg dicky :
du Asante pia hongera okello
2026-04-19 08:00:17
1
user1071924929653
user1071924929653 :
fantastic pass
2026-05-11 15:27:45
1
user94376147331313
Johnny Thommy :
name of song 😋💚💛
2026-04-18 12:06:04
3
bettymagili
Diana :
Ila Huyu Mtoto Ni Hatari Mwenyezi Mungu Amlinde na wengine wote mungu Awafiche kwenye Mbawa Zake Ameen!🙏
2026-05-12 08:36:09
0
bahatlububi
luckness chef#🇹🇿 :
Haya magori jaman aina ya ufugaji wake uwiiii❤️❤️❤️❤️❤️❤️naipenda yanga
2026-05-10 08:48:07
1
To see more videos from user @yangasportsclub1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About