@ngelangela_: Kiukweli #ChrissyMelody angetuwakilisha vyema kabisa kwenye BSS ni vile haikua Bahati yake. Moja yamafanikio aliyoyapata mpaka sasa ni kutrend kuliko hata waliochaguliwa. #MicharazoTime #Dodomafmradio
Atatoka na kua msanii mkubwa🥰 hata Harmonize walimkataa
2026-04-18 06:32:33
106
Kelly travel🇹🇿 :
anaimba kawaida sema nyimbo aanyoimba ndio nzur
2026-04-19 07:47:51
33
majkha 246... :
Mungu ana njia nyingi ya kukupitisha kwenye mafanikio
2026-04-17 16:51:02
93
Neizan⛎ :
anasound kama mocco genius 🔥
2026-04-17 16:51:06
54
Nickie_andaskoo@😇 :
KAmaaaa amin🎶🎶
2026-04-17 19:32:06
20
Samih Ali :
Hiii nyimbo gani
2026-04-17 16:30:11
5
officialbenga98 :
2026-04-18 12:52:59
1
Mariam Sylvanus :
Humu tuuuu
2026-04-17 17:41:39
16
Khaleed :
Dodoma wanaipenda hii nyimbo sana.. 😅
2026-04-18 17:19:58
3
allanmother7 :
First time namsikia huyu kaka roho iliniuma balaa kuachwa mno ila nyie tulien kma unajua mziki bss ni mashindano kwaiyo dodoma kulikuwa na vipaji vizur zaid yake ilo muelewe jmn ana kila kitu kma msanii ila kule asingetoboa top 50 angerud 2 ila hii ni nafas yake apa mungu ana kila namna ya mtu kumwaminisha mtu sasa ajaenda bss ila amejulikana na watu sasa atoe nyimbo zake sabab unaweza usiwe bola sana lakin kibali cha kukubaliwa machoni mwa watu so amshukuru mungu kwa kila kitu all the best.
2026-04-18 23:44:18
11
arafa omy :
apooo
2026-04-17 17:25:05
6
I love gonzale :
jmn i like this guy
2026-04-19 05:32:31
1
Arnold Kiwango :
anajua kuchagua nyimboo sana
2026-04-17 14:04:54
28
julie😍🥰💔💝 :
Mm mwenywe wamenikosea kumuacha harmonize wapili atatiboa bila wao mungu yupo🥰
2026-04-18 21:40:21
3
MRS🌹🦋MINGO🦋🌺OG🦋🦋 :
jina la wimbo pls
2026-04-19 13:02:27
1
𝒄𝒍𝒊𝒏.𝑷𝒆𝒕𝒆𝒓~𝒔𝒎 :
sure
2026-04-18 15:18:55
0
Marvis💕 :
Shida ni wimbo alochagua kuimba pale ndo jau,,,,,ni mnoma namfahamu apoo COED
2026-04-18 18:51:28
0
Ruben_445$vicra❤️❤️❣️ :
Kama unamkubali Chris melody gonga like
2026-05-20 18:39:15
1
asnanifadhili :
Even me kwangu wewe ni the best my dear hatakama uliishia njiani 👍💪👏👏
2026-05-19 21:05:26
1
Emmanuel Mwanankulu :
broo unajuwaaaa
2026-04-18 10:48:01
0
Mizzypop :
noma sana
2026-04-18 10:43:55
0
Brack boy :
kaka unaweza voice cal kama genius
2026-04-17 22:06:09
4
To see more videos from user @ngelangela_, please go to the Tikwm
homepage.