Sasa kama ulikua na game la offline itajilock vp na wakati huja connect na internet kwasababu ili ijilock lazma user aonekane yupo online ndo anakua detected sasa kama sjaunga na internet game langu la zamani la offline litajilock vp
2026-04-17 15:13:57
3
Idrisa :
Kama ps yako sio ya account
2026-04-17 19:07:51
2
kibona :
tumekwishaaa😀😀😀😀
2026-04-17 18:25:09
3
chicago data :
duuuh nimeisha
2026-04-17 18:35:13
3
BreezNation :
me juz umeniudh sana 😳
2026-04-18 22:27:29
1
avani :
mbona mimi zote zinakubali offlien
2026-04-20 15:35:56
1
Bravado_18 🎮 :
sa kwa ss tunaochezesha game mtaan inakuwaj
2026-04-19 10:32:44
1
Aidani melikiori Aid :
kama game ambazo zimechipiwa hii aiwahusu.
2026-04-20 10:42:14
1
@MuuhVisual :
Kwaiyo itatulazimu tulipie ps plus ? 😳😳
2026-04-17 19:09:39
2
🫅PŘINCĚMAHËËR🔥♈️🇹🇿🧿 :
Wanangu wa fc26 ps5 online dondosha id tukiwashe
2026-04-17 21:31:53
0
ITC_khalif :
na wale wa cd vp
2026-04-18 13:40:33
1
music monment :
kama imesha chipiwa
2026-04-17 15:55:03
3
Cy514 :
Bs
2026-04-17 21:06:45
2
LaFlame :
but kama unataka kuongeza bei ya kuwekea watu game
more power to you
utawapata tu
2026-04-18 13:42:25
1
<0/> Code :
ila uki run goldhen iso lock zinaweza kutoka
2026-04-18 13:16:28
0
LEX🥶🇹🇿 :
@Mun_Tech
2026-04-18 13:20:46
1
To see more videos from user @mrsmartgamestz, please go to the Tikwm
homepage.