@ms.podcasttz: Mahojiano haya kati ya wanandoa @omarkashera na @salmadacotha kuhusu mbinu bora za kukufanya ufaulu ukiitwa kwenye Interview tayari yanapatikana kwenye YouTube Channel ya M&S Podcast, Bonyeza Link kwenye Bio, Subscribe! M&S Podcast Imedhaminiwa na @globaleducationlinktz
niwakumbushe t kumbukeni kusali mungu anajibu maombi yetu 🙌🙌nina ushuhuda mzito
2026-05-04 22:18:12
66
precious :
nachoka mm kwani siwezi kupewa kazi bila ya interview
2026-04-18 14:19:46
40
Makin rk :
We unaijua pannel ya wanoko
2026-04-24 13:22:53
16
zopper :
just say pass
2026-05-31 20:19:18
0
Side bale :
interview ipi kwanza wengine hata pannel hatufiki
2026-04-25 14:13:29
0
Early bird :
w
asanteeee
2026-05-25 04:51:42
1
Jaffo :
Thanks for this technique 😂🔥
2026-05-05 19:24:24
1
GENESIS. :
umetisha..sana mzee ..sijawah kujua hii mbinu..
2026-04-24 11:11:45
9
New York :
Did oi 83839 d e. Or
2026-04-24 11:39:14
0
deby_richard :
Mm niliomba anielezee alisoma Kama lilivyo
2026-04-26 21:15:56
4
Vanilla-55 :
Asante
2026-04-24 14:44:52
1
Re :
Ahaaa
2026-05-04 19:06:03
1
@mbuzi Abby :
Bado hajajibu huyu mzee
2026-04-17 17:26:31
2
sleyum :
uhakika
2026-04-25 09:32:51
1
dauta.bae03 :
kumbee🤲
2026-04-24 13:24:58
1
sally de smile :
Fact
2026-04-25 08:47:41
3
user8182815504239 :
Yes👍
2026-04-17 16:36:34
0
Draick Bavon :
madini💪
2026-04-24 08:11:20
2
angel j 💓💘outfit :
nime copy
2026-05-18 18:16:23
0
sumastore_arusha :
Fact
2026-04-17 15:40:26
2
slh :
hii mbinu nilitumia bila kujua kama ni mbinu maalumu
niliulizwa swali na ilikuwa cjui ata vyakubabaisha lakini nilitabasamu kwanza kisha nikaomba anieleze muelekeo aliokusudia yeye, bac alifafanua kusudio mm nikapata jawabu kwa haraka na usahihi kabisa.
2026-04-25 07:19:40
5
Sophie Msukuma💝💝 :
Umenipa mbinu maana naingia kwenye pannel next week 😂😂😂
2026-04-24 15:52:44
3
@ it me 💜💜 :
Huwa inakuwa ya kingereza kwan
2026-05-04 13:52:29
1
Ruth :
unaulizwa types na hujui where can you escape or ask for specifications
2026-04-24 12:29:32
1
zuraika :
mnatusomesha mnatupangia vyuo wenyew bado mnatup mainterview inamaan hatuamin au
2026-04-24 09:55:34
2
To see more videos from user @ms.podcasttz, please go to the Tikwm
homepage.