@kitaagadgets: 🎤 Wireless Microphone – Sauti Safi, Bila Waya!🔥 K11 - Tsh 15,000/= F11-2 -Tsh 30,000/= K31 Pro -Tsh 35,000/= ✅ Noise Reduction – Inachuja kelele za mazingira, sauti yako inasikika clear kabisa ✅ Wireless Connection – Hakuna waya, freedom ya kusogea unavyotaka ✅ Plug & Play – Unganisha tu na uanze kurekodi, hakuna setup ngumu ✅ Long Battery Life – Rekodi muda mrefu bila interruption ✅ Compatible na Simu nyingi – Android & iPhone ✅ Long Range – Inakamata sauti hata ukiwa mbali kidogo na simu 🔥 Inafaa kwa: Content creators | Interviews | Biashara | Vlogging | Online teaching •Tunauza Gadgets Jumla na Reja kwa bei nafsi kama China 🇨🇳. •Tunatoa muongozo kwa wanaotaka kuanza biashara ya Gadgets. 📍 Kariakoo -Masasi na Likoma 📦Delivery Popote Ulipo (WATEJA WA MIKOANI UNAWEZA LIPIA BAADA YA MZIGO WAKO KUKUFIKIA) ☎️0787937383//062 334 4923 #gadgetsbora #kitaagadgets
kitaagadgets
Region: TZ
Friday 17 April 2026 16:17:47 GMT
Music
Download
Comments
Zenith Collection :
Mic zinazotumika kwenye podcasts unazo..??
2026-08-08 06:31:36
1
💪🏿bk9💞 :
kiongoz
2026-05-19 07:47:51
1
Mann KinLad :
Nahitaji hizo za 30,000
2026-07-14 11:10:45
2
Safari Aloyce :
nazipataje
2026-09-20 15:27:02
1
it'smuheto :
nahitaji boss bado zipo
2026-08-18 13:42:07
1
THEOPISTER KULWA :
naitaj hiy ya manyoa nipo mkoa wa geit masumbwe
2026-07-31 07:13:10
1
Mukiddy :
Namba yako ya sim
2026-08-07 12:31:33
1
king melody :
moja ya 30000
2026-09-21 07:39:34
1
Sancho. Jr255 :
Nahitaji ya magnet na hiyo ya 15 ila ziwe na mic mbili. nipo Arusha
2026-06-08 17:03:47
1
bees'🐝🐝 :
naitaji ya 15000
2026-06-28 06:18:23
1
KIJUKUU OUTFITS STORE 🛍 :
Bado zipo kiongozi
2026-05-02 08:14:04
1
Chubwa😇🦋 :
Nahitaj maiki kwa sasa naweza ipata?
2026-06-14 05:27:39
1
👑~JOEL✨️ :
nahitaji hiyo ya 15,000 naweza kupata nikija kesho
2026-06-27 16:32:39
2
I am Kevoo ⚡️ :
nipo mkoani nahitaji inakuwaje sas
2026-05-31 08:24:58
1
Mwl will John :
Kaka Nataka ya magnetic mbona hunijibu
2026-06-20 13:41:18
1
Ronnie charles :
Naitaji napataje
2026-05-18 16:15:30
1
shamsahub :
Yako shingp??
2026-06-25 21:00:43
1
FABS TV 🇹🇿 :
mic za kushika as ayo media zipo ?
2026-06-11 10:57:31
1
Ronnie charles :
Naitaji na delivery
2026-05-18 15:57:47
1
-V.J.Myonga 🦅 :
Kama hizi shingapi boss
2026-06-12 17:14:27
2
bees'🐝🐝 :
napatkana shinyanga
2026-06-28 06:18:41
1
Mp comedian⛎ :
Namb ya simu Kaka
2026-05-31 17:30:53
1
Happyme :
bado zipo za elf 15 na 30
2026-06-14 20:13:15
1
cakes TZ🇹🇿🇯🇲 :
Nipo kibaha nahitaji hiyo ya 15000
2026-05-30 16:07:59
1
Ray mo :
box rogo Tsh ngapi?
2026-04-29 18:43:55
1
To see more videos from user @kitaagadgets, please go to the Tikwm
homepage.