@missvicky005: Kila kitu kina muda wake na kinapita kwahiyo watu wasijimalize Kesho msikose nawaletea Story ya mashoga wawili ma BFF wa tiktok 👌🏾👌🏾👌🏾👌🏾 Na Jumapili Tar 19.04.2026 Tuko LIVE 👌🏾👌🏾😘😘MSIKOSEEEEEE #raisiwagraduates #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿 #daressalaam #mapenzi

Raisi_wa_graduates
Raisi_wa_graduates
Open In TikTok:
Region: DE
Friday 17 April 2026 17:21:17 GMT
376255
18641
1013
443

Music

Download

Comments

itz.dvdz
𝕀𝕥𝕫.𝕕𝕧𝕕𝕫🤷🏽‍♂️ :
Huwez ongea point kam ivi af nikunyime like😁
2026-04-18 08:12:29
412
zainabuchungu
Zatha :
kazidiwa akili hata na teressa
2026-04-17 23:10:40
568
bertha983
Bertha Augustino :
Nilishawah kumuona live ni wakawaida sanaaaa elewa neno sana
2026-04-18 10:57:57
408
lizzy.pee5
Lizzy Pee :
Vitambi tutavyo na jeans tunavaa team dorry tujuane hapa
2026-04-18 13:00:44
502
phyphy2276
Afya_peak :
Bila juakali mimi nisinge mjua akhi😂😅😅
2026-04-17 20:11:55
581
ruphina04
Phiner003 :
Ni wakawaida sana tena sana
2026-04-18 04:48:00
311
bibslinah12
user :
Naachaje kukupa like sasa☺️☺️🙌🏽🙌🏽umeongea ukwel mtupuuuu🙌🏽❤️
2026-06-15 11:40:36
10
chammi291
🥀chammi💝🌷 :
Una hekima sna kwenye kuongea una kitu 👌👌
2026-04-18 05:18:45
64
fioonaax32
fioonaax :
Nimekupenda bure dada asante kwakufikisha ujumbe ❤️
2026-04-18 07:52:19
48
cute.zuh6
cute zuh :
wangapi wamemfollow restie baadae ya masimango that girl she is very brilliant ☺️☺️☺️☺️
2026-04-18 08:07:46
27
festina.joseph
Festina Joseph :
Judith shule amna
2026-04-18 04:33:35
39
ney67252
ney :
Asante mama mana dah alikuwa amenikaa hapa
2026-04-18 07:25:02
48
chyna_26blaq
Blaq chyner brown26✨ :
Ninakuona mbali😃una kitu😘kuna wanawake wazuriiii alaf hawana noma tunaishi nao😘
2026-05-30 11:30:30
5
winnie.kalulu
bint kalulu😍 :
nilikuwa nimechoka ila nimekufollow hivohivo🥰🥰🥰
2026-05-03 20:57:13
5
catherine.sebasti1
Catherine Sebastian :
adi nmekufollow😁😁
2026-04-21 06:12:12
5
blossom_mei
blossom_mei :
Umesema ukweli kabisa Mwenye hela asemi pesa inaongea 😂
2026-04-22 06:24:18
10
teddylicious8
Teddy🦋 :
Asante kwa kunisaidia kuongea ame boa sanaaaaaaa
2026-04-19 11:36:00
7
agnes33377
Aggy fashion , :
Nimekupenda bure, hata sisi ni warembo sana na urefu tunao sema maisha tu, umekaambia ukweli
2026-04-18 05:09:14
77
evelynepink.talents
evelynepink.talents :
NATAFUTA MPENZI WA PEKEE YANGU TU 🥺😟
2026-04-18 12:38:38
12
sabby.mingo
Sabby Mingo :
yn Judit ata uzur hana
2026-04-18 10:57:55
11
jassie620
jajamukure :
kunywa soda nakuja kulipa🥰
2026-04-17 21:15:51
21
rolyneey2
Rolynee ❤️♐️🌸 :
Mimi nampenda huyu sio mnafiki 😅😅😅❤️
2026-04-18 06:17:03
22
salma_hammy
Salma Collection👗👔👙👚👖👕🧦 :
Sema nimekupenda sana hukoseagi yan🙌
2026-04-17 19:41:17
25
shasaam3shasaam
Shasaam❤️💐🧕✨ :
“HAKUNA KITU KINAWAKAA WATU KICHWANI KAMA NEGATIVITY”🥺❤️hapa umeongeaa
2026-04-21 06:17:38
14
To see more videos from user @missvicky005, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About