@minaababee1: Alhamdulh kwa ichi kidgo nilichobarikiwa 🙏Dear Allah Asanteh 🤍❤️‍🩹

Mama WahenGa✨
Mama WahenGa✨
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 17 April 2026 17:29:18 GMT
175313
5541
361
156

Music

Download

Comments

riffat.win
Riffat Win :
ficha mafanikio yakoooo
2026-04-18 04:07:22
161
yurathawambi
Ummy Farheen :
Limbukeni haogopi sifa ngoja yakukute Allah hachelewi kuwaadabisha wenye kujifakharisha.
2026-05-14 19:37:15
14
nyangjr0
Nyangjr :
mume nipo hapa vp nije kuhamia?nishaandaa mabegi
2026-04-18 09:40:51
31
muhammedmohai
muhammedmohai :
huyu dada muachine kafanya jambo kubwa sana mashallah
2026-04-18 05:33:13
58
user7386573084609
user7386573084609 :
mimi kuonyesha hivo siwezi jamani watu hatupendani
2026-04-18 13:43:56
35
salwah470
salwah :
Neeema, haitangazwi mdogowngu, ogopa sana walimwengu.
2026-05-18 15:06:32
5
khojammisri7
Khoja Mmisri :
anaelekezwa anawajibu watu majibu ya hovyo ok any way siku hizi wachawi hawasumbuki sana maana mnawarahisishia kazi
2026-06-09 10:11:08
3
ladyruu2
ladyruu2 :
husda nyingi ndugu yangu
2026-04-18 09:06:41
12
ummywaally
Mrs Ally❤️ :
Hujawajua bad walimwengu ww
2026-04-18 05:25:58
9
user9556431189750
user9556431189750 :
kwa kweli mashaallah, ila kwa ushauri tu neeema hazitangazwi my .jistr ili mola akustri .sio kila mtu mtu.ww mshukuru mungu kwa kutoa sadaka na kusoma dua za kinga na hasada sio kujipost ivo my ,ni ushauri tu.
2026-04-19 06:14:03
6
user2778036783205
user2778036783205 :
mashallah ♥️
2026-06-04 18:59:56
1
nasra.mohamedy56
Nasra Mohamedy :
ongera mwaya
2026-06-03 21:26:46
1
ramadan.hamisivua
Ramadhan :
hongera
2026-05-30 05:33:48
1
vee_beautyy
Mama allan saloon :
Hongeraaaaaaaaa
2026-06-09 20:52:53
1
mahrizulfa
lulu🌺 :
Masha Allah
2026-05-31 09:11:37
1
user2268187811998
tuma beby :
𝘔𝘶𝘯𝘨𝘶 𝘢𝘬𝘶𝘣𝘢𝘳𝘪𝘬𝘪
2026-05-28 19:43:26
1
manyikarose1
👄ROse🫦🔹 :
hongera dear
2026-05-09 08:47:55
1
hanya883
DR.RAMADHAN HANYA :
MUNGU akuinue
2026-05-25 05:52:20
1
rey.ney0
Rey ney :
Hongera sanaa
2026-05-06 08:08:22
1
drflavours
Drflavours :
hatua nzur.... keep it up
2026-05-19 10:11:44
3
user369977967
𝕃𝕠𝕧𝕖 𝕃𝕦𝕟𝕒..🦋🦋 :
Sitokaa kuposti neema yangu Allah ninusuru nisiwe kazi Yao..
2026-04-27 20:34:39
4
sniper3d66
Mr Balad :
MashaAllah hongera
2026-05-04 14:07:17
2
mom.aisha
Mom Aisha :
Alhamdulilah sihaba kipenzi umeweza Allah akulinde na hasid na husda
2026-05-29 08:13:38
1
kibillah
kibillah :
umejikaza sana
2026-05-23 13:29:33
1
im.ha931
imu :
maa shaa allah
2026-05-04 12:16:35
1
To see more videos from user @minaababee1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About