@papilearomatic: BEI ZA JUMLA ZA PERFUME AMBAZO UNACHAGUA TUNAKUTENGENEZEA MILS 100 Tsh 34000 kwanzia pc 3 MILS 50 Tsh 17000 kwanzia pc 3 MILS 30 TSH 14000 kwanzia pc 3 MILS 20 Tsh 9000 kwanzia pc 3 MILS 10 Tsh 5000 kwanzia pc 10 Bei ya package kubwa bei ni nizi Perfume Mils 50 unapata kwa Tsh LAKI NNE Utapata perfume PC 30 za Ujazo Mils 50 zikiwa na brand name yako full details zako free design sticker Kwa mtaji wa LAKI NNE TU FAIDA ya mtaji wa LAKI NNE KWA chupa 30 utapata LAKI SITA NA NUSU Ruksa kuchagua perfume unazo takaaa mteja wangu Perfume Mils 30 kwa Tsh LAKI TATU NA TISINI Utapata perfume Mils 30 PC 40 zikiwa na brand name yako full details zako free design sticker kwa mtaji wa LAKI TATU NA TISINI FAIDA YA MTAJI WA LAKI TATU NA TISINI NI LAKI SITA NA ELFU KUMI Ruksa kuchagua perfume Unazo hitaji mteja wangu Perfume Mils 20 utapata kwa mtaji wa LAKI MBILI Utapata perfume PC 26 za Ujazo Mils 20 zikiwa na brand name yako full detail zako free design sticker kwa mtaji wa LAKI MBILI FAIDA YA MTAJI WA LAKI MBILI kwa chupa 26 ni LAKI MOJA NA TISINI Ruksa kuchagua perfume unazo hitaji mteja wangu Package ya mwisho ni Mils 10 kwa MTAJI WA LAKI MOJA NA SABUNI NA TANO utapata chupa za Mils 10 PC 50 zikiwa na full brand name yako full details zako free design sticker KWA MTAJI WA LAKI MOJA NA SABUNI NA TANO FAIDA NI LAKI TATU NA ELFU USHIRINI NA TANO Mpendwa mteja wangu kama Kuna jinsi ujaelewa unaweza kupiga simu kwa maelekezo zaidi karibu sana tunapatikana GOBA BUSINESS PARK MADALE ROAD Upo mkoani tunatuma kwa UAMINIFU MKUBWA SANA Nje ya nchi pia tunatuma karibuni sana Biashara ya perfume ni nzuri na kuuza ni uhakika kwasababu Perfume zetu ni nzuri Zina ubora sana sana jaribu UTANISHUKURUU 0756426715 #perfume #perfumeticktock #tanzaniantiktok🇹🇿 #tiktokperfume #perfumetiktok

P A P I L E A R O M A T I C
P A P I L E A R O M A T I C
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 April 2026 06:22:55 GMT
281285
6322
356
1344

Music

Download

Comments

shakhila60
shakhila 💓 :
Naitaji
2026-05-17 22:41:33
1
judithvitalis96
Judyely :
lazima nifanye hii biashara ndg zangu mniombee kwa MUNGU anijalie nipate mtaji natamani snaa hii biashara
2026-04-18 17:47:15
32
eliana.tenga5
Eliana Tenga :
Mpo wap
2026-05-21 08:57:56
1
itika.mwasimba
Itika Mwasimba :
Delivery mnafanya..
2026-05-05 19:35:47
1
user422965033743
user422965033743 :
mm nauzaje
2026-05-19 18:59:42
1
ochu.jones
ochu jones :
Mimi nina laki mbili unanisaidiaje???
2026-06-24 17:28:05
1
aniciashayo
anicia :
Boss mkoan mnatumae
2026-06-10 06:01:31
1
glory.ma.love
Glory & gayda :
nakupataje naitaji
2026-06-16 09:01:37
1
marium.mnzava
Marium Mnzava :
mpo wapi boss
2026-06-06 14:28:21
1
aishaaa6880
aisha🪻 :
Nahitaji
2026-06-28 20:46:48
1
annangunwa
Anna Ngunwa :
naomba namba
2026-06-11 10:56:28
1
mankaog3
Manka og :
ambayo kwa moja tutauza bei gani
2026-06-16 05:45:24
1
expensivedesigner0
expensivedesigner0 :
Boss laki 4 unafundisha naku mix izo perfume kwa sisi hatujui kuzi mixe?
2026-07-04 22:44:52
1
aishaabdulkareem17
🌸Asha Kareem✅🦋 :
Nataka nianze iyo biashara mwez ujao Ila sielew naanzaje kwanza nataka kujua jins yakutengeneza
2026-07-05 18:45:35
1
akram_abdul2
Akram_abdul💣💣 :
boss namba yenu ya cmu iko wapi
2026-08-23 10:49:19
1
maryhendry82
maryhendry :
Nahitaji nipo kahama
2026-05-26 05:05:14
1
loveness.jeremia
Loveness Jeremia :
naitaji pafyumu nzuri ya kike ya 15 isiwe kali lakn iwe inakaa kwa nguo
2026-07-27 09:22:07
1
aishaabdulkareem17
🌸Asha Kareem✅🦋 :
Jamn Nipo seriously nataka kujua mnavyochanganya
2026-07-05 18:41:40
1
leithserenge
LeithSerenge :
Asanteee natafuta mtaji Boss wangu unipokee
2026-06-14 09:27:07
1
kamamaa_tz
Kamamaa :
Nikitaka kujifunza kutengeneza mwenyewe natakiwa kutoa sh ngapi?
2026-07-12 10:41:06
1
kimbunga34
chif mzirani :
mm naitaji kaka
2026-05-27 18:29:35
1
queen5uy
Queen d :
nahitaji
2026-05-18 14:22:37
1
misskhayra04
Miss khayra :
Mkoan unatuma
2026-05-18 19:01:50
1
rachel.mbwambo0
Rachel Mbwambo :
nikitokea tanbovu
2026-05-30 10:13:12
1
kalondjitimothy
KAL TIMOTHY BAZEGA :
Uko dar?
2026-05-04 12:14:48
1
To see more videos from user @papilearomatic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About