Nataka Kujiunga na program kaka please naomba utaratibu
2026-04-22 15:36:23
0
catherine :
kaka mimi nakushukuru sana nilikua na uyu nasisisti ila sikua najua ila tangu nifatilie vidio zako nimeweza kumuacha nainjoi nanimeweza kumuacha hajaamini macho yake asante kaka Mungu akubarik sana
2026-04-18 17:51:11
8
Annastella Laurian :
Hello thanks for your help ,ulisaidia mtu kumtoa moyoni mwangu barikiwa na Mungu
2026-04-20 08:12:03
2
EVA :
Mimi wakati nilikuwa na pesa , nilipendwa na mother sana ,wakati nilikosea pesa zile LAANA nimenenewa aki ,just God knows ,
2026-04-20 03:53:51
2
Jojo🍭🍬 :
nahitaji
2026-04-18 14:38:01
1
Elizabeth Kamau :
Niko na hiyo shida
2026-04-20 05:36:21
4
Soni_ya :
shilingi ngapi na kwa muda gani hiyo program please?
2026-04-18 16:02:15
1
vagabond :
hiyo program inatanyika hata ukiwa mbali?
2026-04-18 08:27:33
1
Aliyah :
nakupenda buree kakangu
2026-04-18 13:12:55
2
Rahma :
mm hio halo ndio nonayopotia isipokuwa mm hawezi kunichukua kisex hilo nimeshukiru
2026-04-18 22:14:06
2
alish :
kweli haswaaaa
2026-04-18 13:09:49
1
Zariah Clavery :
nakushuru sana mwalimu wangu leo nimesimama kwa ajili ya mafundisho yako ninaendelea vzr
2026-04-19 08:54:57
1
Official cavoo :
mm Nahitaji
2026-04-18 08:57:41
1
user13794633654495 :
haki Mimi nashindwa kumsahau mpenzi
2026-04-22 19:47:54
0
thainah :
nahitaji
2026-04-18 13:39:22
0
user2163054183154 :
mm pia nateseka na hilo nikejitoa. kwake ila inaniuma saana kwaalonifanyia
2026-04-21 04:11:15
1
Amazon :
Mimi nime kaha mwaka 22ans na mume wangu sasa ninamu sahau bro 😎 kwaku fuata ba vidéos Zako thx ☺️
2026-04-18 15:07:47
2
Hilda .....🌹jumy :
huyo n mm jmn msaada pleas
2026-04-20 18:27:09
0
Sada Caketanga :
yes nashindwa
2026-04-20 19:14:13
0
fety :
Namba wp
2026-05-22 23:19:46
0
rakshi :
kaka naomba musaada nashindwa kabisa kusahau
2026-05-12 20:32:41
0
Hazan hanim :
ni mm huyo bro 😳🙏🙏
2026-05-09 15:00:18
0
Khabi@ 27 :
Me pia natak msaada napitia wakti huo
2026-04-27 19:01:14
0
Lucky G (257) :
Asante
2026-04-18 15:45:29
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm
homepage.