Nyie kuna iyo shower gel n nzuri hatr na oil yake 👌
2026-04-18 10:23:28
60
official frida :
sunscreen Bei gn
2026-04-18 15:20:14
27
Glow queen 😍 :
Ila ww paul unatu cheleweshea vlog bhana heeee jaman 🤔
2026-04-18 10:25:08
119
Rachel 🥰🥰 :
ambao hatuna hela ila tunatamani kung'aa tulike apa🥹🥹
2026-04-20 04:17:53
22
Tee🎀💕✨ :
the love I have for this girl walai🥰🥰🥰God only knows, hey Mrs Omar
2026-04-18 14:47:40
25
I💗ryn3💦 :
na hizo zipo karibuni warembo 🥰kwa jumla na rejareja
2026-04-18 16:35:45
5
Neema Anton :
wa kwanza leo nijibu mama amarah
2026-04-18 10:02:22
9
sham :
ninachofulah ni wale team fayma sion wakimchkia paula hadi laha inapenda ila team paula wanamsemag fayma vibay mm ninachofulah nawapenda wot kwakweli🥰🥰🥰
2026-04-19 12:11:53
5
M._im :
Paula our Vlog🥹It’s weekend already
2026-04-18 16:43:00
6
joy410041 :
Paula you're so gorgeous,it feels like a crime 😍😍
2026-04-18 13:52:59
5
laurasangawe❤ :
Umeanza kunenepa tena rudi gym bby 🥰
2026-04-18 15:55:14
5
Princess bernah :
Jaman naomba mnisaidie kumwambia paula nampenda jmn🥺❤️
2026-04-18 15:46:51
6
BURJ KHALIFA :
nani aliyegundua apo ni arusha gran melia😁
2026-04-18 22:01:03
5
Rosemary :
kukupenda tyu ndo najua
2026-04-18 14:53:13
5
adolphina :
Nimeota nipo na paula alafu tunapaka wote skin luxy yake daah Yani hii ndoto ipo siku itatimia Ngoja nitafute pesa ninunuwe 🥰🥰🥰
2026-04-19 09:46:31
7
𝓘𝓽🌼𝓲𝓼🌸𝓶𝔀𝓪𝓻𝓪𝓫𝓾🌺 :
50/60 nalipa kwauwaminifu
2026-06-02 08:32:50
0
mom rahyn :
Yani ungekuwa mzuri ungesumbuwa sana
2026-06-03 07:04:00
1
𝐆𝐀𝐒𝐏𝐀𝐑𝐃👨🏾🦱 :
50/50
2026-04-18 13:08:52
2
🦋NIANI💦 :
30/30 Nalipa
2026-04-19 17:26:23
2
BACHU :
15/15 anza nalipa kwa uaminifu
2026-04-20 11:29:46
4
To see more videos from user @paulahkajala, please go to the Tikwm
homepage.