@blessedwithwealthfavor:

ms_verah888🔮🧿
ms_verah888🔮🧿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 18 April 2026 14:09:40 GMT
282141
11982
781
534

Music

Download

Comments

_.sweetie03
BATULIIE🦋♌️ :
Wanasema chizi anachekesha kma hatokei kwenu 🥹 nd hii sasa
2026-04-18 21:03:41
727
ashas.back.up4
Asha's back up :
Kama unayo naomba 😁
2026-04-18 19:55:41
46
anjee.0909
ANJE.🌹🦋 :
to be honest namuonea huruma sana yule dada kiukweli 😢
2026-04-18 22:26:39
148
jacqie512
Jackie💫 :
anaetaka anifollow nimtumie😂
2026-04-18 22:13:00
16
roxie0785
𝑰𝒄𝒆𝒚♡ :
Hivi mnajua kua sio yeye? Mimi hii video nimeona since 2020 zamani kinouma,kwanza hata haonekani sura sio yeye mim hii video naikumbuka vizuri sana
2026-04-19 08:30:21
41
shayla2813
shayla🦋💟 :
Dada yang umeongea point sana mungu akubarik tumuombee na huyu binti asije akajizuru
2026-04-18 21:36:30
359
msjoelove
Ms joe :
2026-04-19 08:23:21
11
assanb21
ASSAN :
imagine😁😁
2026-04-19 05:49:18
21
nanuh71
💕nanuh💞 :
Me nimemuomba mungu ampe nguvu katika kipind hiki ila me nimeona kama ni watu wawili tofauti jmn
2026-04-18 20:04:03
40
user7451746357160
Amani laizer :
2026-04-19 05:26:54
8
nathaliefranswaza
Nathalie🇨🇩Francoisa :
What💔💔💔😳😳😳😳
2026-04-20 04:25:34
0
babykaterina2
Rose 🌹 🔐❤❤🍏🍎🌹🔐 :
sawa kipenzchangu🥰🥰🥰🥰asanite sana mylove
2026-04-18 20:03:06
10
miss_mourynne
M.ó.m.ó💞💦✨ :
umeongea ukweli dadaa,, ile video ni huzuni tuu🥲🥹
2026-04-18 21:24:57
13
asia.zuberi5
Mrs Dajo :
Hata mim zambi nyingn zinipite Sitaki Hata kuangalia, ila naumia tunadhalilishwa Sana wanawake kwa tamaa zetu
2026-04-19 05:39:08
44
hamisasimtanda
Hamisa Ramadhan 🥤🍉 :
Kuna watu hawana utu mi pia nilikuwa shabiki sana wa hya maswala ya connection ila niliona ni ushabiki wa kijinga Kuna Leo na kesho dunia duara
2026-04-19 18:23:00
0
mariathoamas
Mariathomas :
ila jamani inauma mno basi tyu🥺🥺
2026-04-18 14:36:41
41
sammydesally1
Sally🌸🦋 :
Mungu amtie nguvu Yule binti🥺we all did mistakes
2026-04-19 06:51:35
5
hanygirl02
chocolate queen👑 :
sioo2 awe ndugu yakooo kibidamu inauma🥺
2026-04-19 10:15:21
7
user9826167690843
yusra Musa omari :
sijaona. na sitaki kuona
2026-04-19 21:42:19
0
isher.momo
momo :
kweli kbs inauma sana
2026-04-20 12:47:10
0
rahelraulian
💍💍rec💞💞 :
umeongea ukweli
2026-04-20 13:07:02
0
umiy696
Umi jey :
machizi sana😭😭😭
2026-04-19 10:54:30
1
najtara
Naj🌸Tara💦🩷👣 :
inaumiza sana🥺🥺😭
2026-04-20 18:30:30
0
deephina6
deephina6 :
fact dada 😭😭😭 so saddy 😭😭
2026-04-20 17:00:13
0
itzmojay
itzmojay :
Ila cameraman 😁
2026-04-19 18:35:45
0
To see more videos from user @blessedwithwealthfavor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About