@islamicswahilinet: HIZI NI SURAH NA AYAH MUHIMU ZA KUHIFADHI KWA KILA MUISLAMU As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Saturday 18 April 2026 14:14:31 GMT
Music
Download
Comments
othman maalim🇹🇿 :
sura zote ni muhimu ni wajibu kudhihifadhi na kuzisoma
2026-04-21 04:12:53
31
maryam maryam :
Shukran sana
2026-06-15 06:18:11
2
Khan-09- :
Shekh assalamualaikum, Nina swali hapo kwenye suratul kahfi , unasoma yote au Aya 10 za mwanzo wa suratul kahfi?
2026-06-22 17:37:20
1
Dyav IQra :
shukran
2026-04-20 07:17:44
2
Captain :
vipi Surat Fatha? mama wa quraan
2026-06-15 15:26:10
3
Diddah de luxe🤭 :
Allah awajalie wagonjwa wote wapone 🥹🤲🙏❤️
2026-05-17 14:17:42
5
Tuma💗 :
shukuran
2026-04-20 13:13:39
5
zuber :
shukran jazilah Allah akulipe kheri
2026-06-15 22:52:04
1
Olive :
Jazaka-Llahu kheyran kathiran
2026-04-20 05:25:31
12
mwajumataabutaabu :
manshaallah
2026-04-20 07:23:21
3
A dollar 🌹🌹 :
Shukrani
2026-06-03 19:40:26
1
Latifa Khamis :
Allah atujalie tuwe wenye kuhifadhi
2026-06-16 11:16:06
1
Ahmedyramaar :
mbn surat dukhaan,insaan,sajda hujazitaja
2026-06-16 06:27:25
1
itssummy73 :
mashaallah
2026-04-20 07:45:19
1
Habib Allah☝️ :
Allah bariq fii 🤲
2026-04-20 09:23:35
5
user4376540703495 :
jazaakallah
2026-04-20 19:52:04
1
wihamu💙♥️ :
jazakkallahu kher
2026-04-19 14:34:51
8
🇮🇳RAHUL KHAN🇮🇳 :
mashaallah
2026-04-20 13:06:40
2
Asha :
mashaallah
2026-04-20 10:46:12
1
🧕Husnice🥀 :
shukrani
2026-04-20 08:13:53
1
arafakiloli1 :
jazakallahu khairan
2026-04-20 10:45:21
1
#K0R3N3R0 :
asante
2026-04-20 08:36:25
2
💗بنت الردين💗 :
shukraan
2026-04-20 08:05:15
2
hassan mohammad :
asande
2026-04-20 08:31:33
1
debayser :
shukran ostadh allah akulipe
2026-05-07 17:40:11
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.