My love ❤️Najua una mengi ya kufanya lakini tafadhali jitunze kwa ajili yangu 🥺. Kumbuka kila wakati wewe ndio furaha ya moyo wangu 🥰. Kila sms yako, kila sauti yako, hunifanya nijisikie hai zaidi ❤️. Nakuhitaji, nakutaka, na nitakupenda bila kikomo milele ❤️🔐.
2026-04-18 15:04:28
7
cool gal :
Pia nawe mpenzi
nakupenda zaidi ❤️
2026-04-18 16:03:04
3
❣️🥰luhya daughter ❣️❣️ :
tangu lini
2026-04-20 04:22:21
3
612 :
thank you
2026-06-03 19:12:36
0
Rey💕 :
😁😁 Nikimwambia hivi siatanidhara kabis na mwanaume akijua unampenda utapata shida
2026-05-11 11:45:09
2
willy Kangapu :
je suis époustoufler par ces belles paroles combien sont attirantes .