Safii sana kaka.Vip lakini kule kijijini uliko toka Umehakikisha kuwa hakuna ndugu jamaa au rafiki ambaye Ameshindwa Pesa ya Panadol au,Au vip kuhusu wale watoto yatima wanao Pata mlo moja kwa shida.
Kaka mimi Sina hela.Ila Mungu akitangulia kukupa wewe basi ziheshim sana hizo pesa😢😢😢
2026-04-19 07:12:13
294
Anna Lamoda :
tunza iyo video mpaka 2030 utanipa majibu
2026-04-28 16:50:04
8
Joeboy0880 :
point yake Nini apo
2026-04-18 23:01:35
27
Diason Mgeta :
gari yenyewe sijui ni plimio sijui crown ungekua na v8 j au hilex
2026-04-20 18:49:16
12
Omary Cherehani :
1500
2026-04-18 23:47:58
6
Monica Emmanuel :
Wewe jmn naomba moja tu
2026-04-19 08:27:45
10
Code#%^ :
Sisi ndo nini kuosha gari na bia mbona kawaida na vibia vya sh elfu1 hivyo
2026-07-14 20:53:57
1
Emmanuel John :
Duh
2026-06-10 17:39:27
0
uwimana ashiley 🇨🇩🇧🇮❤️🫂 :
icho kitu mungu apendi afazali una saidiya watoto waya tima Ila siyo kwa ubaya 🙏🙌
2026-04-19 05:11:32
48
user5300572231032 :
mh
2026-06-07 12:16:53
0
❤️DEE🥰🌹🌹 :
naomba 5
2026-05-17 15:04:32
1
Kitwana Tambwe :
Mwanangu nashida ya 30,000 mwanao hapa
2026-04-19 03:27:58
9
vaileth prosper :
kaka nikweli lakin usifanye hivyo tena watoto ya tima ni wengu ungeenda kuwasaidia mungu angekubariki zaidi
2026-04-19 06:54:05
26
anna :
jaman kama mpenda mungu tuzudi kumuomba
2026-06-25 12:36:41
0
kiputa michezo :
Kaka kaka nakubali ndugu kama utaguswa naomba unisaidie 50elf niongezee mtaji wang wa genge kaka Mungu atakubariki Amen..
2026-04-19 12:14:08
8
Typher🦅 :
Ila wanaume wanene🙌🏻
2026-04-19 06:53:14
5
Okela michi :
unazingua sana
2026-05-29 20:07:25
0
Ubain PPC DRC :
masifa
2026-04-19 08:35:24
5
cathe 💎💎 :
castle lite hiii
2026-05-29 14:19:41
0
Daddy Bwayi 👨 :
Sawa Si Umeamua Kujiamlia Mambo Fresh Mwanetu!....
2026-05-30 16:56:31
1
ezekielerick :
Unatafuta sifa hiyo hela ungepelekea kwa watoto yatima mungu angekubariki sana kuliko kufanya ivyo
2026-04-21 06:51:44
1
boga7 0696044465 :
sifa
2026-04-19 02:51:04
1
user7525168511842 :
kaka naomba unisaidie elfu 10
2026-05-02 16:42:10
1
Marycian😘 ♋️ :
oshea Magic moment basiiiii🥺
2026-04-19 10:01:21
3
To see more videos from user @manomaaction, please go to the Tikwm
homepage.