Mungu ponya hii ndoa kwani sioni.ata maana ya ndoa
2026-06-08 16:03:35
11
Linda Bin lydia🇨🇩🇹🇿🇨🇦 :
Amen Amen
2026-07-12 20:43:38
1
petience Kenya :
Amen mungu ondoa ugomvi kwenye ndoa
2026-04-18 21:22:10
2
speedy :
niko hapa Mtumish wa mungu ni siku tatu hatuongei kwa nyumba
2026-06-03 09:59:20
3
Genofeva Simon :
emungu naomba simama nami na ndowa yangu migogor isiwepo
2026-06-25 12:13:45
4
priscaherman :
Amen naondoa ugomvi kwenye ndoa yangu in Jesus name 🙏
2026-04-19 06:21:45
8
@Anim :
Emwenyezi mungu nimepokea maombi haya naomba iwe ndo mwanzo na mwisho wa mifarakano ktk ndoa yangu adui ashindwe kwa jina la mwenyezi mungu Amiin 🙏
2026-06-16 13:26:18
4
Husnah ♍️ :
Ee mungu shusha umaskini huyu baba apumzike maana kachoka na pesa zake
2026-06-17 18:56:01
0
Estherno :
amen amen Mgu nisaindie
2026-05-29 06:37:16
1
Hellen :
Amina Mungu ninaomba uponye ndoa yangu ninaomba Amani katika ndoa yangu nimekuwa na maumivu for long ni miaka tatu sasa moyo wangu unakidonda
Mungu nisaidie nipate Amani katika ndoa yangu 🙏🙏
2026-06-09 04:55:16
3
Winny wa mummy 💞🫰🏻 :
Mungu ifungue ndoa yangu🥰
2026-06-30 17:15:33
1
Jen 🇹🇿 & 🇩🇪 💍 :
Amen 🙏🏻
2026-06-16 07:26:00
0
Lydia cakes :
huu ujumbe umenibariki sana leo
2026-05-04 06:21:24
4
baby :
nimebarikiwa sana
2026-07-08 11:28:16
1
Kubota Divine :
mungu anipe nguvu ya kusameye
2026-07-01 07:24:55
1
momR🥰💞 :
Ameeen
2026-06-03 08:33:43
1
Maombi-Tiba-byPastor-Ndelwa :
hallelujah
2026-04-18 21:38:01
3
Harriet Hauma Hamandongwe :
aminaaa
2026-05-31 04:59:27
1
GODFREY NTANG'ANA :
ameni nikama unanisema mimi
2026-04-19 11:50:59
3
Bahati :
nayapitia mpaka nimefika mwisho
2026-04-19 08:59:51
4
Rakos :
kupitia maombi Haya ndoa yangu iponywe katika Jina la Yesu
2026-06-17 17:43:09
1
winnieg371 :
Amen 🙏
2026-04-28 09:31:20
1
Queen Mom 2020 :
Mungu hakubariki
2026-06-04 15:39:32
1
Grace1 :
Amen
2026-04-18 21:21:27
1
To see more videos from user @maombitibabypasto, please go to the Tikwm
homepage.