nitamuulizia mpenzi wangu, mambo yao sitaki kuyajua kaka
2026-04-19 06:41:07
7
Champion :
Tutaanza kujadili maswala ya mpenzi wetu
2026-06-03 18:03:31
0
Dantarian_26 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.
2026-06-02 09:04:22
0
Twarbu Lung'oda :
nitamsalimia
2026-04-25 20:36:14
1
Adekulo Yakuza♥️😘 :
tutaelewan 😂😂😂
2026-04-20 06:04:41
0
paul :
2026-04-21 07:58:38
0
MBARALI PHOTO :
ANIPE ODDS 10 ZA UWAKIKA
2026-04-21 17:45:04
1
koschei_101 :
tutapumuliana tu kwenye simu hapo hapo
2026-04-19 06:27:31
4
edvin :
Kiswahili
2026-04-19 06:47:38
1
@Kijana mpole :
ntamsisitiz watumie kinga tuuh
2026-05-01 18:16:44
0
TeeMoh..❤️ :
Nitawatukanaa Hawataamni 😂😂😂😂
2026-04-20 15:40:02
0
conceptual G :
tutasalimiana🤨
2026-04-19 20:47:32
0
Young.Bright :
maneno kam semaji la TRA
2026-07-02 14:49:17
0
ƐmīẒ̌_23✝️ :
😁tutajadili kugawana majukum
2026-05-30 13:45:41
0
official mgosanya :
nitamwambia anitimie hela ya mchezo 😁😅
2026-05-10 09:16:01
0
@':: . :
tunaongelea mpira😂😂😂
2026-04-20 17:24:18
0
😎Last king 🤴 :
Story za mpira
2026-04-28 17:23:22
0
Wizzy Efx 001 :
ntaenda dinya wote
2026-04-25 23:43:41
0
𝑝𝑟𝑒𝑡𝑡𝑦 𝑅𝑎ℎ𝑤𝑎𝑛💕💕 :
matusi
2026-04-19 16:13:32
0
Max_Vibe🧢 :
😂😂
2026-04-19 07:40:53
1
HassanZone⚡️ :
😂😂😂
2026-04-19 08:18:04
1
To see more videos from user @laughzone___, please go to the Tikwm
homepage.