@drrocktanzania: Unajisikia tumbo limejaa, linauma au linakaza? Jaribu hizi tabia rahisi 👇 🥗 Kula polepole – usikimbilie chakula 🥤 Epuka soda na vinywaji vyenye gesi 💧 Kunywa maji ya kutosha kila siku 🚶♂️ Fanya mazoezi mepesi (kutembea hata dakika 15–30) 🫘 Punguza vyakula vinavyosababisha gesi (maharage mengi, kabichi, nk) 😌 Dhibiti stress – inaathiri mfumo wa mmeng’enyo ✨ Mwili wako utahisi mwepesi na wenye afya zaidi! 💬 Ushawahi kupata tatizo la bloating? Tuambie experience yako! #drrocktanzania #foryoupage #vidondavyatumbovinatibika #kingazamwili #hbv