nimepamiss uko japo nikipita nafunga macho kwaushba huku nataman kuangalia👀👀👀🙄🥹
2026-04-19 07:44:36
1
YOUNG DRIVE TZ🇹🇿🦺 :
familia kubwa🔥🔥
2026-04-19 08:29:16
1
S🖤I🖤Y🖤A :
nyumban kbsaa
2026-04-25 16:30:47
1
kipunje Jr 1999 🍎🍎 :
mufike salama ndugu zangu ila kibomboy munatupiga sana kwenye nauli nawakati nauli mumeambiwa mpaka tarehe moja mwezi watano ndio Rasmi zubapanda lakini ndugu zangu kwery nyie wakunifanyia 40 kutoka hambalawey kwenda dar tena nimeshuka boko magengeni imeniuma sana wakuuuu nilikuwatuu sina jinsi lakini nililaumu sana maana hiyo 40 nilowapa nilipiga hesabu nakula njiani lakini inshallah nimemuachiatu mola nandio maana nimehamia kwenye mwensino wajamaaa hawanaga tamaaa kabisa yani
2026-04-22 09:02:58
1
Jc-jewellerystore :
Oya niache apo vuga road niende kwetu kwa chifu Kimweli Magogo
2026-06-15 18:50:05
1
To see more videos from user @kibomboiroyalclassic, please go to the Tikwm
homepage.