@madam_leila: Karibuni katika Darsa yetu ya pili ya Online. Hii ni baada ya mafanikio ya Darsa yetu ya Smart Ladies Master Class. Katika Darsa hii tutakua na mgeni Muhimu na Mwanazuoni @izudin.alwy.moham Darsa hii inatakua ya siku mbili yaani Tar 29 na Tar 30/5/2026. Mada kuu nne zitajadiliwa pamoja na nafasi ya maswali na majibu. Washiriki ni watu wote, Wanawake kwa Wanaume. Nawakaribisha nyote kwenye Darsa yetu hii Adhim na Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yetu. Kiingilio ni Tsh 50,000/= kwa siku zote mbili. Namba ya malipo ni Lipa kwa Mix by Yas Namba: 8561947; Jina : Leila Chams. Kwa maswali, maelezo zaidi namna ya kulipa na kujiunga, tafadhali tuandikie kwa namba : (+255) 0757643746 WhatsApp na kwa Simu ya Kawaida.

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 April 2026 09:19:13 GMT
663585
34164
326
1624

Music

Download

Comments

smile_sweet04
smile_sweet :
nishauliza sana sasa nimekaa kimya nimeona nilifanya mistake kuishi namtu bila ndoa
2026-04-19 09:59:18
261
anchayazide2025
anchayazide2025 :
sio.kosa maana ata din inasema mwanamke mwema anaomba doa nasio zina🥰🥰
2026-04-19 11:10:28
189
arshat2003
arshat@2003 :
me nimeuliza na sikufel kanioa na tushapat mtoto Alhamdulilah
2026-04-19 16:15:17
81
khazabintrasheedyzayedy1
khazar bint rasheed zayeedy1 :
minilidhani ukii uliza ilo swali ni upendo mwingi na unaogopa kumpoteza mpenzi wako ao sio ivo jamani
2026-04-19 10:30:59
30
desiriyua1
SHAYUA✨ :
mimi na jeuri zangu siwez kabis kuuliz 😂😂😂
2026-04-19 13:37:53
58
khudhaifah5452
PSSR 🛟⚓️ :
Waisalam Tumswalieni mtume Muhammad {s.a.w}
2026-04-19 09:57:11
155
user4817044039574nahra
mahra :
sasa kama bado hajajipata je bado umesafeli
2026-04-20 03:46:59
4
evelynepink.talents
evelynepink.talents :
NATAFUTA MPENZI WA PEKEE YANGU TU 🥺😟
2026-04-19 15:03:35
12
mh.s484
M🌹H🌸 S🌻 :
Wengi tushafeli sana asaiv niko kimya ananiuliza tena tutaona lini mm tayar sina hisia nae tena 😭
2026-04-24 18:20:47
4
dyamohuzzahdyam37
haruna saidy haruna :
sawa umeongea point ila hapo kwenye 50k apo
2026-04-19 10:01:43
17
user79163084934544
Shammy :
ya Allah ulie umba mbingu na Ardhi ninae kuamini kwa imaniii Anguuu Nakuomb kheri zaid na Barak kutok kwako Amiiin
2026-04-20 04:15:15
6
itz.sherry_
Sherry Fadhil🤎🥥 :
😄😄😄😄😄sema kimeumanaaaa
2026-04-19 10:06:23
7
happiness.mosomi
Happiness Mosomi :
waa 😂😂
2026-06-15 16:04:04
0
rad12345675
Rad :
@Rad:mmi mkenya hii hapa siku ya pili kutafta marafiki kutoka Tanzania 🇹🇿. send hi nikufollow
2026-05-05 13:55:01
0
ritha1967
miss Ree 💝 :
kabisa,kwann uulize?,it means yeye haoni
2026-04-23 00:07:05
1
aboveonly583
Brightstar :
Siwezi kuuliza wala kuomba pesa
2026-05-03 09:59:47
0
mamatee1173
Mrs meh♥️🦢 :
😁😁😁yoohh kumbe nmefail
2026-04-19 20:53:29
0
cchakununa
chakununa collection :
kama kuna mwalim wakike Tanzania kwajamii hassa sisi wanawake kwa tz huyu namba 1❤️❤️Allah akuweke madam
2026-04-22 05:44:09
1
kidumetz1
KIDUME TZ🚶‍♂️💞💞💞 :
true😁😁
2026-04-30 14:20:29
0
mwanakamarisaid
mwanakamarisaid :
point
2026-04-30 04:07:04
0
itsmomo355
ITS MOMOH❤️❤️ :
na kama amewahi niambia atanioa na tayari kwao kwanipeleka nisiulize ni lini😂😂😂😂
2026-07-15 02:33:42
0
radhifejy0o
𝐁𝐚𝐫𝐛𝐢𝐞 𝐁𝐞𝐲❤ :
Fact
2026-05-05 05:48:56
0
zely_offic1altz
Zely officialtz :
10/10
2026-05-04 14:02:46
0
user4817044039574nahra
mahra :
sasa nimpe uchi na haja nioa
2026-04-20 06:12:25
0
lizer806
🥰lizer🤍💞 :
na kama siwezi kutafuta huyo mtu mwingine
2026-05-31 19:57:39
0
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About