@zahmid_tz: Happy birthday sio siku kuu kwa muislamu na wala haifai kusherehekea muislamu kwa sababu ni sawa na kufurahia kupungua kwa uhai wako. jihadhari na kuiga yasiyofaa ndugu muislmu. mzungumzaji:Sheikh Said Bafana ⭐️Follow ili ufahamu uislamu wako kupitia mawaidha, nasaha, darsa, Qur’an na hekima mbali mbali. #uislamu #islamicpost#mawaidha#islamicvideo ⭐️FOLLOW ⭐️ @islamic_halawah @zahmid_tv @nuru_ya_peponi @guide_qalam @islamic_rihla