@nunu_delicious:

NUNUDREAM ❤️ ⭐
NUNUDREAM ❤️ ⭐
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 19 April 2026 15:25:52 GMT
622501
15080
314
1288

Music

Download

Comments

tina177828
Tina❤️❤️ :
Mimi nimejaribu leo 😂😂
2026-05-02 21:27:33
40
nusurajongo
@nuh1402🥰 :
Nimekuja na ushuhuda na hii ni day one 😂😂buanaaaah weeeeh umeweza mwalimu we2😂🙌
2026-04-19 20:49:32
70
user5237684576581
NandJlove :
mrejesho
2026-04-20 05:08:56
38
kurthy346
kulsoom😜💞 :
keki haiwekw maji 🙌🙌
2026-04-20 08:34:27
15
mirry.danieli
mirry danieli :
2026-04-20 11:23:51
27
hamida2158
Hussein Nahil :
kuna sisi tumejaribu 😁
2026-06-16 12:38:20
2
mrssam096
mrssam :
wow nice naomba mlike ntairudia soon
2026-04-21 06:34:27
15
letisia.jeremia
Letisia Jeremia :
UNGA wa ngano au
2026-04-30 16:20:28
2
azizajohn3
user83259066633924 :
hapo kwenye unga unatumia unga gani kipenzi 🥰
2026-05-03 05:16:39
0
iamjeylinnah
Queen~jenna👑💕 :
vipi amila uweki
2026-04-20 08:51:44
7
teddychach
Mom-GP 240🦋♥️ :
2026-05-20 20:17:49
0
user4717152484082ley
leyla denis 🥰 :
nimewez na mmi dda Asante sana
2026-05-17 17:45:12
1
enivh20
it's Ebby⭐💯 :
umesema mayai ni mangapi kipenz?? lkn samahan nna tatizo la kusikia vizul☺️
2026-05-04 12:27:10
5
sarahkiondo
Sarah Mabando :
nimepika Jana imechambuka Asante Kwa somo🥰🥰
2026-04-20 10:16:26
6
grace.amos917
Grace Amos :
mbn hujaweka vanira
2026-05-24 11:11:45
0
cecygeofreydeusde
[email protected] :
ubarikiwe unafundisha kwa utulivu mpaka mtu anaelewa vzr, ngoja nijaribu leo niwe naokoa pesa za keki ya birthday za wanangu😍
2026-04-20 06:56:28
6
user6585615625416
@LightLaillaty Mrs A :
Samahani ilo sufuria la kwanza hamna kitu ndani ao umeweka maji ao vip pls jibu comment
2026-05-03 18:11:08
6
telesiambwelwa
T.Money🌎🌹 :
kupitia video hii nimepika keki kwa mala ya kwanza asante sana dada
2026-04-21 04:10:53
7
deborabwire108
Debora Bwire :
dada UNGA wangno haiwezekani au dada angu 🥰
2026-05-21 07:34:03
0
mauadeglory
mauadeglory :
Asante sana dada saiv mm ni teacher wa keki ya jiko la mkaa
2026-05-03 09:20:26
0
user5705492913228
mwanaisha :
samahani nauliza pia kwajiko la mkaa sufuria zafaa ziwe mbili my tafadhali nijibu basi🥰🥰🥰🥰
2026-05-05 13:31:12
2
forberance1
@smilesubi :
mayai mangapi😅😅
2026-04-20 13:19:18
2
nabra.collectiontz
nabra.collectiontz :
Wizoo angu ❤️
2026-04-24 15:52:16
0
ernestina.mwesigw
Ernestina Mwesigwa :
Asante kipenz sinunui keki Tena ya kula nyumbn nilijaribu ikawa hvyo
2026-05-08 09:03:37
3
me02472
me Hadije artist❤️🌹❤️ :
wooow mpambanaji wangu 🥰
2026-04-27 05:22:56
2
To see more videos from user @nunu_delicious, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About