Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@indahyel:
yel
Open In TikTok:
Region: MY
Sunday 19 April 2026 16:42:51 GMT
31
0
0
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.98MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.98MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @indahyel, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Hali ya simanzi na taharuki imetanda katika Kitongoji cha Oltulelei, Kata ya Ilboru, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, kufuatia kifo cha mwanamke aliyefahamika kwa jina la Elizabeth Frank Kimsangi, mwenye umri wa miaka 25, ambaye mwili wake ulikutwa ndani ya nyumba ukiwa umefunikwa kwa zulia huku damu nyingi ikiwa imetapakaa sakafuni. Kwa mujibu wa mashuhuda, mwendesha bodaboda aliyekuwa na utaratibu wa kumpeleka marehemu kazini kila siku ndiye aliyebaini tukio hilo baada ya kufika nyumbani kwake na kukuta mlango ukiwa wazi, ambapo alipoingia ndani aliona damu kuanzia mlangoni hadi chumbani na kumkuta marehemu akiwa amefunikwa kwa zulia huku mtuhumiwa akidaiwa kukimbia mara baada ya tukio. Marehemu ambaye alikuwa akifanya kazi katika kampuni moja ya utalii jijini Arusha, mwili wake ulichukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya uchunguzi na taratibu za kisheria huku likieleza kuwa uchunguzi unaendelea ili kuwakamata waliohusika. Tukio hilo limeibua hofu kubwa miongoni mwa wakazi wa Arumeru kutokana na kutokea saa chache tu baada ya tukio jingine la mauaji katika eneo la Moivo, ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumuua mume wake kwa kumchoma kisu shingoni, jambo lililowafanya wananchi kuzitaka mamlaka kuchukua hatua za haraka ili kuhakikisha haki inatendeka
The Greatest Teenage Athlete of All Time // IB:@1omarfx // #lamineyamal #barcelona #edit #fyp #viralvideos
"قُلِ الْحَمْدُ لِلَّهِ ۚ بَلْ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ" موعظة_دينية#نصائح_دينية #اجر_لي_ولكم quran#
هەرێمی سوڵتان ئەڵقەی 83 بەشی کۆتایی #fypシ゚ #foryou #muhteşemyüzyıl #drama #درامای_هەرێمی_سوڵتان
#keşfet #summervibes #perteeeeeeeeeeeeeeeeee #foryou #perteeeeeeeeeeeeeeeeee 🧡
🌚🔥 . . . #fypシ #diyardersim #viral #🖤 #🥀
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy