@wepesitv: Mwanaume ni mwanaume tu, we hana hela au anayo. Thamani yake haipimwi na mfuko bali na misimamo, juhudi na namna anavyosimama tena anapoanguka. Usijione mdogo kwa sababu ya hali uliyonayo leo kesho inaweza kubadilika, lakini utu wako ndio unaobaki.