@azoretechtz: POV: Bosi wako anajua unatumia saa 2 kujaza data, kumbe unatumia sekunde 10! 😎🤫 Muda ni mchache na mambo ni mengi, kwanini uteseke? Acha u-beginner wa kujaza cell moja moja. 🛑 Fanya hivi: 1️⃣ Select Headers zako 2️⃣ Bonyeza ALT + D + O 3️⃣ Enjoy maisha ya kijanja! ⌨️✨ Kama hii shortcut imekuokoa: 📌 SAVE ili usije ukaumbuka ofisini! 🚀 SEND kwa mshikaji wako anayeshinda ofisini kisa Excel. ⚡ Gonga LIKE ❤️ 🔥 FOLLOW kwa maujanja ya kijanja! 👊💻 #exceltanzania #worksmart #excelshortcuts #azoretechtz #fypppp