@dume_health.tz: *Umesha wahi Kumwaga shahawa nyepesi kama maji ya mchele...?* Kama jibu Ni "NDIO" basi, iba siri hii..💦 Hii si mada ya kupuuzia, Hapa ndipo wanaume wengi huanza safari ya hofu kimya kimya...Bila hata kujua... Ipo hivi...Ubora wa shahawa (semen quality) haupimwi kwa macho pekee.... Kuna ishara ambazo mwili unajaribu kukuonyesha...Na wengi huzipuuza.... Hali ya Kumwaga Shahawa nyepesi kama maji ya mchele inaweza kusababishwa Na.... Mabadiliko ya homoni, hasa hormone ya kiume (Testosterone hormone) Mtindo wa maisha stress, pombe, kukosa usingizi na lishe mbovu... Uraibi w aKupiga Punyeto na video za Ngono kwa muda mrefu.... *Sasa sikiliza hii vizuri…👇* Tatizo si kumwaga... Je..!? kile unachomwaga kina uwezo gani...? Wanaume wengi wamejenga confidence ya uongo na kujipa moyo kwamba... “Naweza kufanya tendo vizuri, basi niko sawa…” *Lakini ukweli mchungu ni huu...👇* Unaweza kuwa na nguvu kitandani...lakini uwezo wa kutungisha mimba ukawa chini bila kujua.... Hii ndiyo sehemu inayoumiza zaidi kwa sababu hutajua mpaka pale unapohitaji mtoto ndipo unakutana na ukuta.... Broo..usisubiri shida ije ndiyo uanze kuchukua hatua.. Mwanaume mwenye akili anapima mapema..kabla ya presha ya maisha haijamkuta.... *Semen Analysis ndiyo kipimo pekee kinachokupa ukweli halisi....* 1. Idadi ya mbegu (sperm count)... 2. Kasi ya kusogea (motility).... 3. Umbo la mbegu (morphology)... 4. Ubora wa maji maji yaani shahawa yenyewe... Kipimo cha Mbegu za kiume Sio cha wagonjwa tu... Ni kipimo cha mwanaume anayejiamini na anayetaka kujua ukweli wake.... Hofu ya kupima ndiyo inayowafanya wengi waishi na tatizo kwa muda mrefu… Bila hata kujua..... Afya ya uzazi si jambo la kubahatisha… ni jambo la kupima.... Ukiona hii ishara ya shahawa nyepesi sana usiogope chukua hatua..... Kwa sababu ukweli hauwezi kubadilika, unapo jua Hali yako mapema ndivyo unavyoongeza nafasi ya kupona.. Kama unahisi kuna kitu hakiko sawa kwenye ubora wa shahawa zako… usikae na hofu kimya kimya... Chukua hatua mapema kabla haijawa changamoto ya Kudumu ya Afya ya uzazi.... Usione aibu kutafuta ushauri mapema. Afya ya mwanaume ni muhimu. Kwa maelezo zaidi au ushauri binafsi: 📞 +255 858 179 598 #AfyaYaMwanaume #NguvuZaKiume #MenHealth #Testosterone #SwahiliDoctor
Dume_health.tz
Region: TZ
Sunday 19 April 2026 18:49:50 GMT
Music
Download
Comments
wachu Og :
👍👍👍
2026-04-19 20:36:44
0
To see more videos from user @dume_health.tz, please go to the Tikwm
homepage.