kupenda penda si tulikukataza kam umeachika kula nyama nyamanza😁✌
2026-04-21 05:08:42
9
lucy 🦋 :
kila nikibadili simu nahakikisha hii nyimbo haikosi
2026-04-21 07:27:43
2
🐾macho♥mazur🔥 :
naipenda imejaa moyon mwangu
2026-04-21 17:59:16
2
Veronica :
huu wimbo uwaga unanikumbusha mbali sana daah😭😭
2026-05-02 19:32:27
2
Daudibaso :
huwa niya moto kinoma
2026-04-20 21:09:14
1
cutyledy :
😭
2026-04-21 19:39:14
1
Ommy :
kumbe munajua km tunaachwaaa
2026-04-21 07:58:24
1
middo :
sanaa😂😂😂
2026-04-20 11:18:41
3
officially bizzy D :
asnati kwa nini ulinifanyia vile😥😥
2026-04-21 16:47:19
4
Kuch'weleso_💫 :
nyimb yang bor ya mda wot
2026-04-21 18:50:40
1
Aisha collection :
daaaah
2026-04-23 12:15:41
1
CaptAi№sungura :
kuondoka kwako kwangu mungu ataleta nema!
2026-04-25 12:00:35
1
sarahadam145♓🔥 :
nimekubali mimi 😌😌
2026-04-22 06:32:04
1
🗣💔😭 :
yani nasikiliza hii song nikiwa tiki tok lakni pia kwa playlist nime play otile na jovial kwa simu moja nazote nazielewa wakati huohuo mapenzi uuuuuuuh hapna tena😭😭💔💔💔🥹😓😰🤧🥲😭💔
2026-04-21 11:40:08
5
Kabeza :
Ila namuombea akaishi maisha mema huenda MunGu akaleta neema daaa😭😭😭😭😭😭😭
2026-04-20 19:06:27
3
mathias s maguzu🇹🇿 :
nakubaliiii sana kka duuuuu🥲🥲
2026-04-20 10:20:56
2
mimah 🥰 :
nmekubal mm jmn mapnz tuachie wenyewe
2026-04-20 16:48:05
2
Mtwara boy :
sana kpind icho ndo alkuwa mkal sana lbraah
2026-04-20 18:47:29
2
Only..Naah💜 :
nmekubaliana na wewee😩
2026-04-21 20:53:49
1
Aden 47 :
mmh kaiskiliz ile choz
2026-04-20 21:48:07
1
To see more videos from user @music_hub13, please go to the Tikwm
homepage.