@makillahjr_: Laiti ungekuwa hapa rasool, hakuna masikini ambaye angekuwa katika Ummah wetu. Laiti ungekuwa hapa, tungewatunza yatima, tungewahifadhi waliovunjika moyo.” Najua kila mtu ana magumu yake na machungu yake ndani ya moyo wake hata kama hauna njaa basi hata siku mojamoja ile kigumu uwe unanunua vitu kwa mtu kama huyo pichani.. Watu hawa sio kama wale wenye supermarkets kubwa eneo ulipo ... Ni watu wa kawaida sana ambao huenda ukiingia kwenye nafsi zao hawawazi kuhusu mafanikio.. Wenyewe wanafanya hizi biashara ili waweze kuishi na ndugu zao wengine waishi kwa mapambano yao ... #muslim #muslimtiktok #trending #makeitviral #viral
Moyo umeniuma man mama zet wanapitia mengi mung awape nguvu na ss atupe uwez tuwatunz inshallah 🥰🥰
2026-04-20 16:53:00
61
Mamulicious :
wallahy dah it's too touching
2026-04-21 08:25:30
5
0p xhaklee99🚜🦺 :
sahihi asnt Kwa kutukumbusha
2026-04-20 13:44:22
20
Sonia 🍎Vnah🫧💫 :
Amin😔
2026-04-21 14:15:31
1
chichi_bella✨ 🦋 :
Nimekumbuka mbali 😭😭😭😭
2026-04-23 21:35:03
1
kizuley💼 :
Allah awajaalie wamama wote duniani awafanyie wepesi katika kila njia zao za kutafuta rizki za halal ziwe baraka kwa familia zao wapate zaidi na zaidi ziwe chanzo cha furaha na upendo katika familia zao Amina inshaAllah🙏🏽❤️
2026-04-20 23:14:12
9
Dolbibi mkubwa💕 :
yaa Allah wafungulie ridhiki wazazi wety🥺
2026-04-29 18:28:19
2
Ma2pa__Boss 4️⃣5️⃣ :
Nakupenda mama
2026-06-05 06:07:52
1
Abdul Salim :
Nimekosa cha kusema yan😩 ila umeongea fact san
2026-04-21 09:20:09
7
𝐙 𝐂𝐥𝐚𝐬𝐬𝐢𝐜 𝐍𝐨𝐯𝐥𝐞𝐬 :
Asante kwa ukumbusho huo
2026-05-27 11:55:40
1
#Young De. :
Mbariki mam yako allah
2026-05-03 15:59:45
1
Mia⭐Buku :
Really brother 🤝
2026-05-30 15:56:26
1
ruzaika :
ni kwly hsa 🥰 yarabby wape subra wazazi wetu pia awepe pepo ya daraja ya juu 😔
2026-04-20 06:42:39
6
😍😍 :
my mom 😭😭😭
2026-04-24 07:36:45
1
Mahmoud decoration :
🥰🥰🥰 much love
2026-05-01 06:32:35
1
Setembo the boy :
😭😭😭Maisha magum sana ya Allah wape rizki wazazi wetu na utujaalie watoto kuwakumbuka wazazi nakuwafanyia wema🤲🤲
2026-05-26 08:19:26
1
Salum Khatour :
😭😭😭ya Allah ya Allah 😭😭😭
2026-05-07 12:18:20
1
🫀❤️ :
Sjui nalia nn 🥺🥺machoz yananitok 🥺
2026-04-26 13:02:33
2
Officially nandy :
Yarabu nijalie ridhiki za halali nitunze wazazi wangu jap Najua sio rahis🥰🥰 Ila kwa rehema zak kila ktu kina wezekan
2026-05-08 14:47:10
2
marthaelias200 :
Mungu mjalie huyu mama 🙏🙏
2026-04-29 20:09:55
1
🥀🌺Reyhan🦋🎀 :
mungu awaajalie wamama wote insha'Allah 🙏🤲 na awape nguvu ya kupambana ili kuendeleza familia zao🥹🙏🤲
2026-06-08 22:58:04
1
Lil Mbuzii Official :
Daah 🥺😔
2026-04-25 10:32:49
2
Hussein Ally :
Allah atuhifadhi ummati Muhammad (S.A.W)
2026-05-03 14:03:26
1
Aliz Abdull 🇨🇦🇨🇦🇨🇦 :
kabisa
2026-04-23 05:19:58
1
To see more videos from user @makillahjr_, please go to the Tikwm
homepage.