@kibakiaj: Pigieni Mungu ##growmyaccount #catholicpriests #catholictiktok #catholicmusic

Kibaki AJ
Kibaki AJ
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 19 April 2026 21:53:10 GMT
528067
36671
452
444

Music

Download

Comments

hopejema
hopejema :
😭😭😭 Umenikumbisha nyakati ambao familia yetu ilikuwa na Upendo mkubwa, Kaka yangu alikuwa anasoma Seminary, aliporudi likizo alitufundisha wimbo huo, wakati huo kanisa letu lilikuwa ni kigango baadae likawa parokia. Baba yangu akawa mwenyekiti wa parokia- mama yangu mwenyekiti wa jumuia. Mimi na wadogo zangu tuliimba tulikuwa waimba kwaya kanisani. 😭😭 Leo hii mama na baba wameshafariki, kaka yangu yupo kitandani anaumwa ni muda mrefu. Furaha yote ya Familia imezima kama mashumaa😭. Lakini Bado ninamtumainia Mungu🙏
2026-06-10 17:20:42
71
ryan000016
Ryan424421 :
Don't judge me but I have an ask. Mbona avae hizo zote then finally azifunike na nguo ingine hasipovaa nani atajua hajazivaa ama what's the meaning of them. It's a genuine question please
2026-05-05 17:42:06
32
cynty.cuzzy
lastii❤️💯 kabon :
proud being catholic always
2026-07-03 10:59:02
0
cateshlizermutua
#daddy's daughter :
what's the meaning of INRI priest🙏🙏
2026-06-25 18:33:01
2
mkurgat2
mkurgat2 :
I had to follow you because your comebacks are 🔥🔥🔥🔥😂😂
2026-05-22 07:46:51
9
kamum2544
loise254❣️❣️💯 :
Kila nikifungua TikTok napatana na ma father's wa catholic kwani God want me to became a sister 😭😭🤦🤦
2026-06-12 11:45:12
7
user79070945854437
Monica :
sang this yesrerday in our church
2026-04-20 03:29:20
53
harrietkarimi33
Harry☺️ :
we sang this yesterday it was lit🔥..st Francis of Assisi Catholic church Ruiru
2026-04-20 05:49:02
38
user1592213282051
annae :
naomba kiss kama hiyo
2026-06-10 18:49:14
10
pendo.makula5
PENDO MAKULA :
katoriki na mimi mpaka kifo kitutenganishe🥰🥰
2026-05-14 05:41:00
11
niko.masonda
Niko Masonda :
i remember when I was young I had thought to be like you father
2026-04-22 11:51:21
10
preciouswisdomofficial
👑KHÄLÎFA MZÄGLA 💦 :
utanifanya nikue na tamaa ya kua father sasa🤣🤣🤣🤣
2026-06-17 19:00:58
3
eliah.mwinuka59
eliah mwinuka :
haijakaa sawa
2026-04-23 05:21:55
6
fundiagingu10
Agingu Walter :
Name of the song please...am feeling blessed
2026-04-20 15:02:04
9
userngizzymwas
ngizzymwas🇰🇪🇰🇪🇰🇪 :
Mniombe shida imehamia kwangu
2026-05-15 17:52:16
6
user868205776966010
user868205776966010 :
nakupenda sanaaaa padre Kila mara una furaha
2026-05-23 13:47:13
0
queen.mshihiri.nan
Queen Mshihiri (nanana) :
my all time padre yaani ubarikiwe
2026-04-20 01:49:59
6
janty9884
o45 gal🇱🇷🇧🇭🇱🇷 :
naeza kuwa mother Wa watoto wako father 🙈
2026-06-15 05:09:41
1
fidelkirui
silentneighbor :
I play every morning when going to work🥰🥰
2026-05-18 19:51:07
0
judyorina254
miss orina :
mkuje polepole hui empire NI Mimi na rule🤣🤣🤣
2026-06-16 01:12:11
2
kiddy.papy2
Kiddy Papy :
fadher natak kuwa kama ww ila shule nafeli
2026-06-10 10:37:26
0
amina.msangi66
Amina msangi :
Naomba unikumbuke kwa maombi 🙏🙏🙏🙏
2026-06-12 07:26:43
2
adrof58
adrof58 JR :
ndoto za kuwa hivi bado tunazo👏
2026-05-16 21:08:20
1
truphkanx
truph kanx :
i feel blessed..... the song literally gives hope.... be blessed father
2026-05-17 16:12:54
1
generalmash96
Pending Billionaire :
feels happy seeing a father from AJ...an alumni of kiserian seminary junior seminary here
2026-05-17 21:44:48
1
To see more videos from user @kibakiaj, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About