@luqman_venom08: ALHAMDULILLAH🙏🏾WE MADE IT💯 “Katika maisha, baraka ya kweli haipo kwenye tulichonacho⛔️, bali kwenye kile tunachoweza kushiriki na wengine. Kuwatembelea wenye uhitaji si tendo tu, bali ni wito wa moyo na utu🫂. Tunawashukuru kwa dhati wote waliotuunga mkono🤝sadaka zenu zimeleta tabasamu😁, faraja na matumaini mapya😊. 🤲🏾Allah awazidishie kheri na kuibariki mioyo yenu ya huruma🤲🏾.” @twende pamoja foundation #up2thenextone..INSHAALLAH #creatorsearchinsight #swahilitiktok #islamic_video

venom08
venom08
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 April 2026 06:07:25 GMT
665
69
15
0

Music

Download

Comments

maleeq255
𝙈𝘼𝙇𝙀𝙀𝙌✰🏅🫂 :
mashaallah kaka
2026-04-20 10:19:37
2
zayibra285
zay ibra :
mashaallah limetimiy
2026-04-20 15:42:19
0
baberey02
Rahymaaaa🌹🌸🦋 :
mashallah
2026-04-20 07:02:01
1
eashbbay
@eashbbay :
Amen🤲
2026-04-20 11:20:40
0
talaka.tz
talaka tz😜 :
one day see u somewhere kka
2026-04-20 14:54:38
1
kinder.og3
kinder.og :
🔥🔥🔥
2026-04-22 11:12:58
0
uswege_danken
Uswege_danken :
🔥🔥
2026-04-20 11:53:49
0
najayna
najayna irfan :
❤️❤️
2026-04-20 10:56:59
0
To see more videos from user @luqman_venom08, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About