Kwenye harusi yangu wakitia iyo nyimbo mimi mtanikuta kwa dj😂😁😂😁
2026-04-20 15:36:15
811
Yonne :
Kuna mambo mengne tunayafany but yanatushushia thaman yet sis wenyew kwasabb haiwezekan unasoma comment yang af unanjaa na haushtuki
2026-04-21 05:05:07
213
tissy🦋👑 :
I love the way you read comments silently and smiling can we be friends😂😂
2026-04-21 12:44:28
107
Wintyapa :
Ambao tuliolewa bila shamrashamra gonna like hapa
2026-04-20 14:50:16
274
Godii😜🤭 :
ukiachika utaambia nn watu na vibe lote hilo😁
2026-04-21 07:55:37
50
subira jozey :
30/30 nalipa jaman😂
2026-04-20 17:46:03
7
Dennymo :
:Kama utafatilia Aya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku Hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili alafu ukasoma text yangu vizuri na kwa utulivu mkubwa Utagundua kwamba mimi sina la kusema asanteni sana
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
2026-04-20 17:58:15
27
OP C.H.A.D.Y :
Hii ni media gani
2026-04-23 08:34:34
5
mariam omary :
10/10 nalipa
2026-04-21 11:42:32
7
❤️🔐cutebyser officially :
:mnaocomment jitahidin kuwa wabunifu sisi wengine furaha yetu ipo kwenye comment zenu😂😂😂
2026-04-21 11:37:57
31
subira💓😎 :
huyo alikuwa dancer zamani😁
2026-04-20 16:21:02
50
Aquarius Quitrian :
Mshenga👏👏👏
2026-04-22 15:11:54
6
da✌🖤 :
natafta marafiki wa kuview status
2026-04-22 05:22:32
8
bilgal :
siku angelnyigu akiolewa
2026-04-21 09:51:47
7
pretty M🌹 :
kaitendea haki siku yakee
2026-04-21 11:01:22
7
meryem🥰⚘️🥀 :
naombeni mlike comment yangu bando limeisha naenda kununua😁😁😁
2026-04-21 09:21:51
21
nalam :
bila shaka wamekutana TikTok
2026-04-21 14:27:38
17
Marko Polo :
😂😂aibu naona mimi jamanii
2026-04-21 12:39:40
5
Mary :
mbona mim amuni follow
2026-04-20 16:44:31
35
Mr lost :
Nimecheka mpk nikadondosha iphone 17 yangu ya orange kwenye range rover sport yangu niliyonunua south africa nilivoenda vacation kwa hela yangu mwenyew bila msaada wa mtu
2026-04-20 18:32:12
29
etc Exodus KNox :
dada yupo sahihi sana......
2026-04-21 10:27:42
7
Neema :
mnifollow na mimi jamani sina followaz
2026-04-21 11:56:29
7
To see more videos from user @diana_wedding_accesories, please go to the Tikwm
homepage.