@islamicswahilinet: MWANAUME KAMA MKEO HAKUKELI BASI UNAISHI NA MTU AM,BAYE SI MWANANMKE AU KIUMBE KINGINE ILA KAMA NI MWANANMKE KUKUKELA NI HALI YA KAWAIDA NA SUBIRA INAHITAJIKA As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 20 April 2026 16:53:33 GMT
119693
5164
50
1181

Music

Download

Comments

juma..s..252
Suleiman Jr;;;% :
shekh othumani malim ....... unawapa sifa hawa watazidisha vituko wakiiskia hiiii . 🥰🥰🥰🥰🥰masha Allah
2026-04-22 18:42:45
11
user7933976934302
user7933976934302 :
kumbe kawaida yetu🥰🥰🥰🥰
2026-05-02 16:57:09
1
user910865006368
user910865006368 :
Miaka hii w’me wengi wamefanana na w’ke kitabia imekua wanakerana sana.
2026-10-06 09:41:15
0
superwoman0014
superwoman254 :
mashallah Allah akuifadhi
2026-04-21 19:15:10
2
mwantumudizungu
mwantumudizungu :
🥰🥰🥰🥰🥰 nisawa
2026-04-20 19:23:16
2
official.rutto
Official Rutto :
mashaallah
2026-08-27 06:39:12
0
user5503509734771
Ahlam :
mashall 🥰🥰🥰mungu akuweke
2026-04-21 07:51:58
2
__.ommxr.404
__.ommxr.404 :
siyo wanawake tu ata wana ume pia
2026-05-19 05:33:13
2
halimakambi992
Ramuziy kalu :
mashaallah
2026-04-21 05:53:44
3
qays5721
QAYS :
hakun mwanaume ata comment apa Sema tawile 😁😁
2026-04-21 06:18:52
5
papy..saad
✨𝐩𝐚𝐩𝐲🍹 :
bora niuvunje😅
2026-06-05 19:03:45
1
azizayassin03
azizayassin1 :
wanawake wenzangu kuongeze kukeraaaa 😂😂😂😂🥰 mpo
2026-04-22 18:22:48
3
patriciamakutiro1
patriciamakutiro1 :
🥰🥰🥰
2026-07-14 05:13:55
0
user5751812071141
user5751812071141 :
🙏
2026-07-16 08:52:29
0
hashimu.mgelwa5
Hashimu Mgelwa :
😁😁😁
2026-08-15 00:48:23
1
mahry196
✌️CHE% :
🥰🥰🥰
2026-09-04 12:08:39
0
poshojunior
Junior :
Nimejifunza sana...
2026-04-21 07:36:17
3
mane19266
mane :
hapo kwenye kuafiei nimeelewa sana
2026-04-21 06:42:10
3
sabrina95739
Sabrina95 :
Mashallah 🥰
2026-04-21 05:15:03
3
user9391293942401
user9391293942401 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-21 03:06:00
2
moonys_labania
moony's labania :
my favorite sheikh
2026-04-21 09:50:03
2
simonshija57
nassor maxumbw :
😂😂😂
2026-04-20 17:12:54
2
alhamdulillah.alhamduli7
Safia :
🥰🥰🥰🥰
2026-04-20 17:45:26
2
shakur_sharmah
shakur sharmah :
sawa kisebengo @itc...mimah255🦋🧸 😅😅😁
2026-05-09 06:31:55
1
giftdecor21
GIFT DECOR🦋❤️ :
@hassanally
2026-04-21 14:14:49
1
azizayassin03
azizayassin1 :
A.s.w.
2026-04-22 18:22:21
1
furukoboy1
furukoboy885 :
👍
2026-04-21 21:23:44
1
dee_jayden
Dee_Dylan :
@🌸Amzuuh🎀💜✨
2026-04-21 06:28:14
1
innat.ali0
Innat Ali :
🥰🥰🥰
2026-04-21 03:48:50
1
haroubhaji
haroubhaji :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-21 03:16:34
1
ummu.aayman
Ummu ayman :
❤️🥰🥰❤️🥰❤️❤️❤️❤️❤️
2026-04-21 01:39:16
1
user2885814784407
Amina ❤️🕋🕌🙏 :
🤣😂😂😅😁😄
2026-04-20 18:59:44
1
user2337191783980
rahila :
kbsa
2026-04-22 18:58:04
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About