@betizaghassani: Barua ya Mama (Allah amrahamu) #betizaghassani #andamo #swahilipoetry

Beti za Ghassani
Beti za Ghassani
Open In TikTok:
Region: DE
Monday 20 April 2026 20:01:48 GMT
253529
10308
420
2232

Music

Download

Comments

sharif5046
sharif :
Nimelia sana sijawahi kupata mapenzi ya mama alinikataa nikiwa na siku 40
2026-04-21 05:08:27
130
akhtar19812
Akhtar :
Nimejikaza Mara nyingi ila leo nimelia tena Allah ammrehem Mamangu kipenzi na waislam wote waliotangulia mbele za haki
2026-04-21 05:08:33
147
babaake49
Babaake :
Mashallah kwa hii Nyimbo Allah awarehemu wazazi wetu awape makazi mema na walio hai awape Afya Njema Furaha na Mwisho Mwema😭
2026-04-21 04:57:09
53
aminaaminatah985
aminata :
Allah awarehemu wazazi wote waliotangulia mbele za haki😭
2026-04-22 08:22:39
53
mcutez0
Farheen🙂🤍💧✨️ :
roho inaniuma sana mama yangu ananipenda nikiwa na pesa nikiwa Sina ananitolea maneno ya laana ewe mungu mimi kama Kuna ninapo mkosea mama yangu mungu naomba unisamehe mimi tafadhali 🙏😭🧎‍♀️
2026-05-10 21:01:02
8
diama6282
Diama abdou :
I don’t understand but I m feeling to crie
2026-04-30 20:58:33
7
hon.stanleymuthama005
Rashford :
Mungu awape umri mrefu mama zetu InshaAllah ❤️
2026-05-02 08:00:14
13
najma.ngaona.najm
Najma Rashid :
jamani mliopoterewa na wazazi wenu mungu awapenguvu mm ninae Lakin nahsi kulia😪
2026-04-21 06:21:15
31
haleyyum21
haleyyum21 :
Allahumma ghfirlaha warhamha yaarab ❤️
2026-04-20 20:45:58
26
unown059
eddy roger :
masterclass 🥰
2026-06-12 10:13:07
1
zigfighter99
zigfighter99 :
Allahuma ghfiraha warahmamha wasiknaha filjannah 🤲🤲🤲
2026-04-20 20:45:23
21
mireille786
mireille786 :
mimi Sina mama 😭😭😭😭
2026-05-30 06:29:02
2
user5142260346338
user5142260346338 :
Alhamdulilah I miss my mom nishamzika lakini yupo moyoni forever ❤️
2026-04-23 01:11:53
5
nanahenna3
Nana-henna. :
mama mtamu,mama mzuri,mama ni tiba,Allah awarehem walotangulia,na tulionao Allah awape afya njema inshaallah
2026-05-19 14:30:10
2
user6100002673162
mkombozi shella :
following
2026-04-30 15:56:51
1
swalehharun
swalehharun :
good 👍👍👍
2026-04-26 21:27:26
1
yusuf.ebrahim7
Yusuf Ebrahim :
interesting
2026-05-25 04:05:30
1
user6100002673162
mkombozi shella :
shukran
2026-05-01 13:53:50
1
karen4040
kmila :
Amin Amin yarraby Amin 🤲
2026-05-18 10:56:42
1
ukhti.nuu
ukhti nuu :
Oooh😭😭pole sana endelea kumuombea dua still bado nimamayo 🫶😭
2026-05-23 09:35:59
1
cute_hilwa0
darliyah🎀 :
kaimba nani hii nyimbo
2026-04-21 16:08:16
2
niimaabdulatif
Neila :
ameen ya rabilalamin
2026-04-24 17:04:23
2
user6100002673162
mkombozi shella :
very nice song imenigusa tuu sana
2026-04-30 17:49:48
2
haytham.omary
Haytham henna :
mashaallah
2026-04-22 10:37:58
3
mafina163
awena :
naipata wapi hii nyimbo mzima??
2026-04-22 06:26:37
2
To see more videos from user @betizaghassani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About