huwa najiskia Raha sana mwanaume akiwa anamsifu Mungu
2026-04-22 11:39:16
263
amimbu :
Nampenda kaka ana sauti ya kusifu na kuabudu🥰
2026-04-24 17:40:55
85
ney biashara :
una soma comment section uka barikiwee mpaka ushangaee
2026-04-22 13:34:15
123
D’s❤️🩺 :
Kwani huyo kaka anahishi wapi jamani 😭🥰🥰❤️🙏
2026-04-22 15:54:28
14
Min.Boaz Samwel :
abiudi once akitulia na kujua yeye ni praise and worshiper mzuri, hatahangaika kabisa, he has a heart of worshipping lakin hatuliagi, ee Mungu mpe moyo wa utulivu ndani yake🙏🙏🙏
2026-04-25 13:48:32
19
zouh 🤎👣 :
huu wimbo mara ya mwisho ulipigwa kwenye msiba wa mama anguu🥹🥹
2026-04-25 12:17:34
12
Tinah :
Kaka ana sauti nzuri umenibariki mno
2026-04-25 03:56:35
7
SINOTRUK 380 AT 我爱你在这里抖音🫅Pri :
Rafiki.wa kweli.ni.YESU.tu
2026-04-25 05:52:19
18
bcharmy :
the way he sings I got Chills so strong and what a voice☺️☺️☺️
2026-04-25 07:45:49
7
schola mwalabila :
naomba.nikutanishwe nae niimbe nae tenz pls. imani Mungu,ataipa kibari
2026-04-22 18:55:32
16
stigmartha_stephen :
ninachojua MUNGU ana watu hapa duniani
2026-04-22 12:32:23
14
cresensia cessie :
nasikia kulia 🥰
2026-04-25 05:56:59
5
phales chisele :
yaaah hata mm nmeona kabisa kuna nguvu imeshuka hakika!!
2026-04-25 13:08:23
5
Dr. Mgaya james :
hapo mahali ungetulia na kupatumia vizur naona Kibali na neema kubwa sana Mbele yako
2026-04-24 18:23:46
5
Lilian George :
kaka unajua sana MUNGU akupe hitaji la moyo wako
2026-04-22 11:44:59
7
Catty Outfits Ladies :
oct 29 imefanya watu wawe na hofu na Mungu sn.hadi raha
2026-04-22 08:53:08
7
Daniel Mtui :
🔥🔥yaanii uyuu jamaa yuko mbele ya muda mungu akujalie yalyo mema🔥🔥
2026-04-22 07:15:24
14
Mariam Chedy 🦋 :
mmsaide Tenzi 😁
2026-04-22 13:30:26
14
user2205145811026 :
gloria gloria gloria gloria gloria gloria au seigneur jesus christ Ámen
2026-07-17 05:52:06
1
without adela🥰🥰🥰🥰 :
Amena
2026-06-14 03:42:52
1
Boss Mengi :
best voice
2026-06-02 13:38:53
3
konde boy :
Hallelujah 🙏🙏🙏
2026-06-01 20:11:10
1
user94439220563772 :
Amen
2026-05-25 19:13:07
1
dr levis :
Amina
2026-05-04 19:17:00
2
reby :
jaman jamn jamn 🙏🙏
2026-06-19 15:55:32
1
To see more videos from user @union.gospel.music, please go to the Tikwm
homepage.