@bellamy_gong: I don’t own any copyright to tthis video #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokzanzibar #bellamygong #zuchu #yangaday

G O N G
G O N G
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 April 2026 05:11:03 GMT
397061
23931
220
1097

Music

Download

Comments

rehemaadam33
Rehema Adam :
We mdogo wangu mi ni dua yangu kubwa,mume wangu alioa mke wa pili kuna watu walifurahia sana but Allah sw amejibu dua yangu,sijadhalilika na nina furaha sana
2026-04-21 14:21:56
177
12jolie12.cm
kalombe jolie :
ndio ma chérie
2026-04-22 03:30:40
4
its....momyazy
Nally.Kings :
hiyo ni Dua yangu kila siku,Mungu nijaalie ridhki ya kula mm na familia yangu usinifanye nikadhalilika hata siku moja nikakosa chochote🤲.Amiin
2026-04-21 09:38:15
198
mwanaishamtsumi83
Mwanaisha Mtsumi :
ukiimba uchi Allah atakudhalilisha jistiri ukiimba
2026-04-22 04:27:08
10
asnarealmofath1
BnL collection 0718916167 :
hapo kwenyewe kuanzia mavazi ,maisha anayoishi na kazi anayofanya ni dhahir anajidhalilisha allah amfanyie wepesi siku moja atubie arudi kwenye njia ya haki yeye ni binti wa kiislamu na allah amuongoe yeye na aniongoe na mimi amiin🤲
2026-04-22 07:01:18
10
shariffahchirchir
Shariffah chirchir :
Representing Team Zuchu Kenya
2026-04-24 06:44:09
4
irene.bby92
Irene bby :
nakupenda bby girl ukisemwa mm uwa naumia sana kiukwel
2026-04-22 13:46:54
5
baby.mamoon
❤❤shykunee :
ameen kwa sote🥰🥰🥰
2026-04-21 16:09:09
9
faulicious
🦋ℬ𝓐ℬႸ"ℱ𝓐𝓐ℋ❤️ :
10/10 nalipa chap
2026-04-23 00:26:00
0
ysarahamidu
Ysarah Amidu :
We love you so much baby zuu ❤️❤️❤️
2026-04-22 16:46:35
6
taynah457
Taynah♥️🦋 :
Amen😓🙏
2026-04-22 06:51:20
0
zanzibar_canada_boy
car :
hutodhalilika
2026-04-21 08:58:02
12
mwarabusalon
❀༻𝓜𝔀𝓪𝓻𝓪𝓫𝓾 𝓢𝓪𝓵𝓸𝓷༺❀༻ :
50/50 nalipa kwauwaminifu
2026-04-22 10:53:52
0
doddo030
🎀Dodoh🥭 :
10/10nalipa kwa uwaminifu
2026-04-21 14:50:41
4
bakitakihongosi
bakitakihongosi :
Unaakili Sana hayo ndiyo Maombi yangu na nikwambie kitu hatutadhalilika kamwe🙏🙏
2026-04-21 17:56:39
16
cardillac999
cardillac 999 :
Amen kunzia leo na mm niombi langu🙏
2026-04-21 16:41:27
27
holy_joge
cuties👄💋❤ :
Napenda style yako ya kusoma coment kimya kimya..😅😅 vipi tunawez kujuana😅😅 Ukipenda unifollow kabisa😌
2026-04-21 20:52:10
6
user4783449865817
user4783449865817 :
Wewe umechagumiwa kina maymatha watapata haya mpaka mwisho ❤️❤️
2026-04-21 12:55:18
6
halimagirlwww.tiktok.com
lavender💫💫💫 :
najiungamanisha na dua yako
2026-04-21 15:43:20
6
vaileth.erasto5
vaileth erasto :
mung ni mwema🙏
2026-04-22 06:32:39
0
rashid.fatma6
Rashid Fatma :
Mungu Mwema❤️😇💯💯💯🙏🙏🙏🌹🌹🌹
2026-04-22 20:47:01
2
mwajumashaibu266
Mwajuma Shaibu :
AMIIN
2026-04-21 23:31:04
1
user3284514678558
Jojo :
2026-04-23 09:46:17
1
mariacharles750
maria :
nakuombea pia kipenzi anaekuombea mabaya msalaba ataubeba mwenyewe🙏🏽🙏🏽
2026-04-27 08:24:00
1
being_melanie
Melanie_Sugar 🍫🇹🇿 :
10/10🙏🙏😍
2026-04-22 07:09:20
0
To see more videos from user @bellamy_gong, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About