@dr.domi1: 1. Maambukizi ya bakteria H. pylori Hii ndiyo sababu kubwa zaidi duniani Bakteria hawa huishi kwenye ukuta wa tumbo Husababisha vidonda kwa kuharibu kinga ya tumbo dhidi ya asidi 2. Matumizi ya dawa za maumivu mara kwa mara Dawa kama: Ibuprofen Aspirin Hupunguza kinga ya tumbo na kuruhusu asidi kuleta vidonda 3. Asidi nyingi tumboni Mwili ukizalisha asidi nyingi kuliko kawaida Huchangia sana hali kama Acid Reflux Husababisha ukuta wa tumbo kuchomeka 4. Msongo wa mawazo (stress) Stress huongeza uzalishaji wa asidi Pia hupunguza kinga ya mwili 5. Uvutaji sigara na pombe Sigara huchelewesha kupona kwa vidonda Pombe huongeza muwasho#tiktokkenya #creatorsearchinsight #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #foryoupage

DR.DOMI
DR.DOMI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 April 2026 08:55:08 GMT
559
11
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @dr.domi1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About