@miladu_tv: ZAYNAB"Najihis amani katika moyo wangu" Zaiban anaeishi Makambako baada ya kusilimu. Awal alikua akiitwa Jackline ameingia katika uislam baada ya kufuatilia live ya tiktok ya @bab_deo na kushawishika kuupenda uislam. miladu_tv #MiladuUpdates #miladutv #babdeoMiladu

Babdeo Miladu
Babdeo Miladu
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 April 2026 08:59:02 GMT
42616
4897
799
176

Music

Download

Comments

yahya.ahmed1928
Yahya Ahmed :
umenitoa machozi Zainab mungu akudumishe na uislam azidi kukupa utulivu
2026-04-21 12:01:45
67
daudinkimario
Daudi N kimario :
Yesu ndie jina Jipya katika maisha yako Hongera 🙏
2026-04-22 04:32:44
9
binussi673
Bin Ussi :
Allah akupe nguvu ya kushika dini
2026-04-21 11:21:06
17
fau8649
Fau🦋🦋 :
Mashallah Allah akuongoze ktk khreli zaidi
2026-04-21 11:21:19
9
ukhty.zai
Ukhty zai :
nimefurahi kusikia jina kama lang pia nakupa ubin wa baba yang MOHAMMAD🥰
2026-04-21 18:24:39
8
kombo.makame5
kombo makame :
MASHALLAH. KARIBU SANA KTK HAKI.
2026-04-21 10:48:04
24
asiajuma982
Asia Juma :
maashaallah kpnziiiii allah akupe wepesiiiiii
2026-05-27 06:59:02
2
user54172294274876
user54172294274876 :
unaakili sanaaa
2026-05-27 15:47:09
1
user578478106171
princess..ruu🦋 :
Twakupend pia kwaajili ya Allah🙏
2026-04-21 15:41:03
13
user81550253065255
d@d@🙆 :
MashaAllah mungu akuongoze wajina 🥰
2026-05-28 17:12:19
1
maryammuhammad1585
maryammuhammad1585 :
mashaalla mwenyezi mungu akuzidishie kheri zaidi
2026-05-28 18:31:49
2
user7813140599499
Fatma :
Mashaallah 🥰🥰habibty allah akufungulie kila milango ya kher usiache kujifunza
2026-05-19 16:11:41
3
dezoaman.4real
Dezoaman 4real :
Mashaallah Zeynab Allah akufanyie wapesi
2026-04-21 17:15:30
14
raeightliston
Raeight Liston :
mashaallah dada karibu sana kwenye imani ya kweli sai wewe ni dada yangu kiislam
2026-05-25 08:14:47
3
inty_saleh
intayra :
karib katika uislam mamy
2026-04-21 16:26:33
8
idd.munda.mor.tow
Idd Munda Mor Town :
Allah akujalie afya njema na maisha mema na mwisho mwema
2026-05-28 16:02:11
2
mr..one106
Mr. ONE1️⃣✅️ :
mungu atujaalie kila lenye kheir
2026-04-21 11:43:08
6
allybinsachi
Ally Binsachi :
Dada ameamua kujisalimisha kwa mungu mmoja asie na mfanano wa kiumbe chochote na mungu ambae hajazaliwa wala kuzaa karbu Dada Mungu akujaalie kuipata pepo cku ya kyama pamoja nasi Yaah Allah tunakuomba utusamehe na utuongoze katka njia hii iliyo bora Allahummah aaaamin🤲🏾🤲🏾🤲🏾
2026-05-16 19:31:15
4
nasra.masiku
nasra masiku :
umefutiwa dhambizako zoooteee upo kama mtoto mdogo masha alla
2026-04-30 22:47:04
4
nikupende
Nayfat :
Mashalllah... Waislam Taqbirrrrrrrrr
2026-05-08 19:16:17
2
saidimfaume936
crazy money :
maashaAllah ☺️☺️Anza kujifunza qur-an mamaaa
2026-05-03 08:07:49
2
aziza.fredinand
Aziza Fredinand :
Allah Akbar MaishaAllah Karibu Allah akuongozi InshaAllah
2026-05-28 07:24:10
1
mc.faddy.crown21
faddy crown 👑 :
allah akupe uwepesi
2026-05-26 10:47:37
1
tanga.charity.group
Tanga Charity Group :
alhamdulillah mashallwah
2026-05-03 10:36:11
1
yakubuhaji14
habibu :
hongera
2026-04-23 04:04:08
1
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About