Kma unakubali Cristiano Ronaldo ni G.o.a.t weka like hapa
2026-04-21 17:11:08
803
Mkulu2014 :
Niko na Messi, Ronaldo ni level ya Suarez!
2026-04-21 17:25:43
439
DeE Pablo :
RONALDO IS THE GOAT 🐐
2026-06-13 20:51:22
1
Ibraah Kadabra :
team messi tujuane hapa
2026-04-22 06:09:58
395
Dè Öpio 🇰🇪🇹🇷 :
Ronaldo Kachezea League tofauti tofauti Ulaya Adi EPL. But Mesi kacheza Laliga tu basi
2026-04-21 19:57:48
84
ha55anihami51 :
kipi messi anafanya Ronaldo afanyi ila tafuta vitu ambavyo Messi hafanyi kutoka Kwa Ronaldo. .. CR7 is perfect player
2026-04-21 19:20:15
44
dudwa :
messi is the best in numbers
2026-04-21 17:34:00
42
YASFO 9 :
The goat 🐐 is messi
2026-04-22 00:51:18
33
Blaq :
Kuna Individual achievement na kuna Team work achievement. Ronaldo amekuwa na Team achievement kubwa sana kwa kushinda mataji mengi sehem tofauti. Messi ana Individual achievements nyingi kutokana na Kipaji binafsi. Ndio maana katika Individual Achievements Ronaldo anamzidi Magoal pekee, na hii inatokana na Age difference. Ila upande wa Assists, Dribling, Individual awards, MOT. Hence in Team work Cristiano alikuwa na Bahati ya kupata mafanikio. He is GOAT ila Individually Messi alifanikiwa sana hence ni GOAT
2026-04-22 07:05:34
15
❤️Arsenal ❤️🏴🤩 :
ningum sana kunishawishi kunitenganisa Mimi na CR7 kisa data hata iwe vip cr7 nimwamba 100%
2026-04-23 06:53:13
9
it's Julius :
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kutaka kumlinganisha mess na Ronaldo Mimi namjua Ronaldo ndio Greatest of all time basi
Christiano Ronaldo 🐐...is the greatest of all time.. kwenye mpira hujui brother
2026-04-22 07:41:16
36
mubalee2 :
watu wa messi tujuane jamani
2026-04-22 12:15:26
27
JUDE :
Hatutumii data wala nn we all know like Ronaldo is the goat 🐐
2026-04-21 17:46:48
131
hafana_tz :
• La Liga: Walikutana mara 18. Messi alishinda mara 10, Ronaldo akashinda mara 4, na sare 4.
• Champions League: Walikutana mara 6. Messi alishinda mara 2, Ronaldo mara 2, na sare 2.
• Copa del Rey & Supercopa: Walikutana mara 10.
• Mechi za Kirafiki (Timu za Taifa): Walikutana mara 2 (Kila mmoja alishinda mechi moja na kufunga goli moja). Unachokisema nisaw la kni me kwa mchezaji bora ni Cristiano Ronaldo because ni mfungaji bora wa muda wote pia Cristiano anaushawish mkubwa sana Amethibitisha ubora wake katika ligi tofauti (Uingereza, Hispania, na Italia) na mpk sasa yupo Saudi Arabia anakiwasha hatar so the best ni Cristiano Ronaldo no comment
2026-04-22 10:17:45
8
mrs hussein org :
uyo ndio mess king
2026-04-21 17:32:55
43
El Capitano :
Ronaldo is complete player
when you try to differentiate just look at the team performance,team they played for CR7 is different to Messi ,position they played ,Messi position is so easy to assist and this is not a point .Dupa this is who better statistics
2026-04-21 22:14:51
8
To see more videos from user @dallarzpage, please go to the Tikwm
homepage.