@iamromney_: Ni warm up kidogo...🙌🙌🙌 #tiktoktanzania🇹🇿 #fyp #tiktokkenya🇰🇪 #tiktokviral #ugandatiktok🇺🇬

Romney
Romney
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 21 April 2026 17:28:49 GMT
342053
24438
490
167

Music

Download

Comments

tegemeaelias
Tegemea Elias :
Yani ww hadi nimekupost WhatsApp status kuwa ww ndo mshindi wangu wa BSS Baada ya kuimba nyimbo ya RACHEL🙌🏾
2026-04-27 13:17:19
62
missv3009
Missv :
mm roho imeniuma ukivyotoka jmni😭😘 siamnin unavyoimba ivyoo
2026-06-02 06:23:11
24
ezekieluyiengo
Ezekiel sote :
be composure bro, don't use a lot of energy, kuwa mtulivu alafu sauti itatoka nzuri bado, unaumiza mbavu kwa kutumia nguvu mingi
2026-04-23 04:11:34
21
diana.dioniz
Diana Dioniz :
Yan ww ndo mtu wangu BSS ndo mshindi wangu wa msimu huu mwenyez Mungu akutangulie toka first day 👌🫡💪🥰🙌
2026-05-26 20:54:12
6
imee517
Delphina Denis :
Msanii wangu🫶❤️
2026-06-10 22:22:35
1
janeth.mpunga
Janeth Mpunga :
woooh🥰🥰
2026-05-07 18:39:50
3
userjanuzaj17
Addy17⚽ :
Mboso mpaka anajiulza hii nyimbo yake au yako😁🔥🔥
2026-05-05 16:42:08
16
nonotz2
NONO TZ :
Yoooh❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥
2026-04-21 23:16:29
5
user8265600474573
annah 🥰🥰 :
𝚗𝚊𝚔𝚞𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚢𝚊𝚊𝚗
2026-05-24 10:36:48
2
black.donnah
black donnah :
nyimbo tam sana
2026-05-03 18:11:05
7
user5308630681488
rechomwendi :
me shabiki yako mdogo wangu usituangushe nakukubali san❤️
2026-05-23 09:30:36
5
lizzieone40
Lizzie 💕 :
Nakupenda mungu akusaidie
2026-05-18 07:23:48
5
warida144
warda makuka :
Yani ninavyo penda unavyo imba shedy anajua
2026-04-30 19:32:29
6
chall690897
Charlotte💜💜 :
Umeimba vizuri hongera kwa sauti nzuri 🔥 💜
2026-05-19 09:47:01
5
tabibujn
MAMA P💞❤️ :
akikisha unashinda bss mm nishabiki yak sana 🥰🥰🥰❤️
2026-05-05 11:05:23
5
ashley.kim227
ashley kim :
mungu akufanyie uwepes kila kwenye hatua yako inshallah
2026-04-22 07:12:00
7
aggykj8
aggykj :
nakupenda na nakuombea katk mashindano mana nakukubali sana
2026-05-10 11:22:31
5
scott.de.cash8
SCOTT DE CASH💰 :
sijawah kukupinga the best artist mwenye saut flani iv ya kuimbia ma broh 🔥
2026-04-23 18:34:33
5
mhandondahani348
Mhando Ndahani :
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-05-16 17:55:36
2
saudah480
saudah480 :
siku uliyotoka niliumia sana unajua kuimba na unasaut nzur
2026-06-21 13:09:04
1
maryjohnrashidy
maryjohnrashidy :
we unajua
2026-05-26 08:17:44
2
peacefull406
𝓟𝓮𝓪𝓬𝓮 𝓓𝓸𝓵𝓵 ✨🍬🫧 :
huyu kaka dah nikikumbuka I'm so happy to day🙌🙌🙌🙌
2026-06-15 19:57:28
1
amishi79
preshy💋♥️ :
your voice broo 💯🔥 🔥🥰
2026-05-06 04:23:10
3
lidyawales195
lidya🌷 :
unaweza bhana
2026-05-22 14:12:39
2
angelg832
ZAINA--B🦋🦋 :
unajua kuimba lakn sijui kwann walikutoa jmn niliumia sana dah
2026-06-05 10:08:53
5
To see more videos from user @iamromney_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About