@pancreascare1: FAIDA YA KUTUMIA TURMERIC POWDER, CINNAMON, GINGER, LEMON NA HONEY KWA MGONJWA WA KISUKARI 1️⃣ Husaidia kudhibiti sukari ya damu Cinnamon na turmeric vinaweza kusaidia mwili kutumia insulin vizuri. 2️⃣ Hupunguza uvimbe mwilini Turmeric na ginger husaidia kupunguza inflammation inayoweza kuathiri afya. 3️⃣ Huimarisha mmeng’enyo wa chakula Tangawizi husaidia usagaji wa chakula na kupunguza gesi tumboni. 4️⃣ Huongeza kinga ya mwili Lemon na ginger vina virutubisho vinavyosaidia mwili kujikinga. 5️⃣ Husaidia afya ya moyo Wagonjwa wa kisukari wanahitaji kulinda moyo, na viungo hivi vinaweza kusaidia mzunguko wa damu. 6️⃣ Husaidia kupunguza mafuta mabaya mwilini Baadhi ya viungo hivi vinaweza kusaidia cholesterol. 7️⃣ Huongeza nguvu na uchangamfu Lemon na asali kidogo vinaweza kusaidia mwili kupata nguvu. #TikTokShopMyWellnessJourney #GingerPower #HealthTips #sugarcontrol