@diana_wedding_accesories: Mahari yako ilikua ng’ombe wangapi??au ilikua pesa ngapi??? #mahari#bridetobe#bride#engagement #brideprice

Diana_wedding_accessories
Diana_wedding_accessories
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 April 2026 05:51:42 GMT
297137
11772
572
270

Music

Download

Comments

shuuwakudeka
geen,shuu🕊️ :
ni Kuma hihii au kuna nyengine wakuu🥺
2026-04-22 08:02:59
433
ms.t1588
Ms T :
Mungu nipe ata wakuleta mbuzi tu
2026-04-22 06:52:12
463
elizabeth.lucian8
emmylizzycute :
afazali ww umejiuza kwa garama🥰
2026-04-22 11:32:08
13
priscamasau
priscamasau :
mungu nipe hata wa kuleta kuku kishingo tu🥺
2026-04-22 14:04:22
52
user9333410770439
happyness yusuph :
jmn nimependa xana najiunganisha na baraka hz
2026-04-22 11:18:04
55
emmanuelreopord92
Emmanuel Reopord :
me ili Baki kidogo tu niowe mungu akaniokowa
2026-04-22 11:24:35
94
devis0339
Devis :
siwezi kutoka mahali yote iyo kwanza Sina izo ngombe
2026-04-22 11:02:58
63
rayaniwambura59gm
[email protected] :
wakurya tunaoa Hadi kwa Ng'ombe 50
2026-04-22 10:47:20
9
veronika.sanga6
Vee sanga :
5/5
2026-04-22 10:57:52
7
user5242155987112
user5242155987112 :
mungu nipe wa kuleta ata barua ya utambulisho tuanze maisha nitashukur
2026-04-22 08:16:59
90
jeni.jenipher2
Jeni Jenipher :
Mungu nijalie nipate jangili mwezangu Atoehata barua tuu ya utambulosho tuaze maisha nazeeka sasa
2026-04-22 12:34:25
12
winnie.kalulu
bint kalulu😍 :
mungu nipatie hata wa bata mbili tu🥺😄
2026-04-22 13:40:09
10
maggie_deo12
Maggie :
mungu nisaidie hata wa kuleta paka asaidie kukamqta hata panya
2026-04-22 13:27:34
7
eunnice57
EUNICE 🦚🦚 :
Mungu maombi yangu kama haya
2026-04-22 11:22:20
9
tulufinah
diana hussein✍️🤝 :
mim niliolewa kwa milion moja na nusu 😭😭dah kumbe mi nikama mbuzi tuu
2026-04-24 09:05:05
5
tinnah.faustini
tikufundurwa :
nlitokewa mahali ng'ombe 25
2026-04-22 15:40:13
9
salomemassawe27
salomemassawe175 :
mungu nipe mweny mapenz ya dhat ntashukuru
2026-04-22 13:06:11
6
edina.james95
EJJJ :
Ngombe 7 miloni 3 Mungu mbariki baba wa toto wangu🥰🥰🥰
2026-04-22 11:06:12
12
mina.cake.and.bite
Mina cake and bites :
msahafu na tasbihi
2026-04-22 10:52:26
10
byamungumayeri
BYAMUNGU MAYERI :
uo niujinga sana kbs
2026-04-22 10:36:32
5
husna8446
Husna :
daah mm 10 wanatosha
2026-04-22 07:48:58
6
mnyamwezy1203703396565
kyleen kyleen :
me niliolewa kwa sado ya nyanya
2026-05-09 14:15:14
4
user8138519031960
city :
😳😳mi mwenye kuku tu Tena bloila jaman 😳😳😳
2026-05-31 09:59:48
3
fizox.2099
Fizox.2099 :
wako wapiiii
2026-04-25 15:30:42
1
sarafinasilvesta
miss boss :
mung nipe ata wa bure kikubwa love
2026-04-29 16:19:39
0
To see more videos from user @diana_wedding_accesories, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About