@foodloverstz: Wapenzi, hakikisha huu wali haukosi kuupika. Ni mtamu halafu mtamu tena 👌 Viungo vyote vya kupikia mnavipata @foodlovers_products kwa wauzaji mikoani kote. Kila sauce ya kupikia ina kiungo chake kikavu, unaweza kutumia vyote katika upishi au ukachagua kimoja wapo. Bei Zetu:- ✔️ SAUCE ZOTE Tsh. 10,000 /= ✔️ VIUNGO VIKAVU Tsh. 5,000 /= ✔️ PILIPILI Tsh. 5,000 /= Wasiliana nasi kwa 0677009477 ( WhatsApp /Call) ili kupata uwakala mahali ulipo au kupata bidhaa zetu kwa bei za jumla. @foodlovers_rice #utamuguaranteed

foodlovers.tz
foodlovers.tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 April 2026 08:55:44 GMT
640490
28983
292
1327

Music

Download

Comments

_.merline
Merin's kitchen👩‍🍳❤️ :
Utamu guaranteed😋😍
2026-04-22 09:00:02
74
subira.hamaro4
Suu🚽🚰🚿🛠️ :
Spice kwa Dodoma napata wapi Manka wangu?
2026-04-23 07:33:41
14
user4972585049797
😎😎my LOVE :
nataka iidada
2026-05-05 08:21:45
3
lyynnn12
Lyn :
Spices zinapatika wap kwa mwanza msaada??
2026-04-22 10:21:05
22
janethalvin5
@janeth mahimbi :
iringa spices zinapatikana wap
2026-04-23 09:29:53
6
yohananyabuzoki5
Theodore 😻👳 :
kwa dar wapi napi napata spice
2026-04-22 14:17:10
9
annydrammaqueen
Ane Home Decoration :
niulize jaman,hvi hyo source ya kitunguu swaumu na tangawizi inaweza kukaa kwa muda kma Sina fridge
2026-05-05 14:42:07
7
happnesdaud
happnesdaud :
morogoro napata vinapatikana wapi viungo
2026-04-22 19:00:54
4
2433grace
Janeth J :
Spieces Dar Bunju, napata wapi?
2026-05-02 08:35:08
1
smileangel731
smileangel🥑 :
Wakala kigambini?
2026-05-05 14:43:19
1
mspriscy1
프리스카 :
Jipangie bei sofa na carpet
2026-05-16 06:11:37
0
user3974218810318
👣 :
viungo huku zanzibar napataje kama ivo food lover kila nikiuliza sijibiwi
2026-04-29 19:23:48
1
lilysam088
Lisam :
Jmn spices😍
2026-04-22 09:03:27
9
ms.gee.collection
gee collection :
Mbona hujibuuu jmn tunauliza spice tunapata wap
2026-05-08 16:11:05
0
veroniceassenga2
FavouredVeronica❤️✨ :
10/1 nalipa
2026-05-22 10:26:39
1
25delwin
𝑵𝒂𝒏𝒄𝒚 𝑫𝒆𝒍𝒍𝒘𝒊𝒏 :
15/15
2026-05-05 18:57:49
1
user4942772591967
mwajei🥰 :
hizo spices nataka nipo kimara suka
2026-06-12 13:57:12
0
kibugulaally
maryam omary :
nasikia Hadi uku vinavyo nukia 😁🥰🥰
2026-06-01 12:50:55
1
zanladytourguide
mamy :
best cook of the year 🥰
2026-05-05 10:05:12
2
galwan.tailor
galwan tailor :
nilikuwaga naomba dstv watuletee kipindi cha mapishi tena mpishi awe huyu bahati mbayawameleta mwingine jamani uwii😭.food lovers nakupenda unajua kupika🥰🥰
2026-05-09 14:53:11
4
kay4real34
kaybrown :
spices zinapatikana wapi kwa dar guyz
2026-04-22 14:48:51
2
speciozamatai
Specioza Matai :
spieces kwa Dar napata wapi
2026-04-23 08:28:55
2
fatimakingube1
Fatima Hamis kingube :
hiyo shatashata naipataje nipo mbweni maan nimeielewa
2026-04-22 18:14:53
1
miss_nyazowo5
Miss_Nyazowo :
Ivo viungo vyako vinapatikana wapi?
2026-05-03 20:35:37
1
mary.konga6
Mary Konga :
moshi napatia wap
2026-05-02 10:08:03
1
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About