@nyangetronix: Unboxing QY90 Lavalier Mic 🎤✨ Sauti safi bila waya. Clip, connect, record. 📦 Mic mbili ndani ya boksi 🔌 Plug and play kwa simu 🔋 Case ya kuchaji kama earbuds 🔇 Noise reduction kwa sauti clear 📱 Inafaa kwa Reels, TikTok, YouTube, Live, Interview 🎙️ Range ndefu bila waya #ReelsSetup #YouTubeGear #VlogSetup #NyangeTronix #Morogoro