@phones_distributor: Watu wa samsung hiiii👋👋👋 Nataka comment zenu kuhusu simu zenye DOCOMO?? Je, wewe unaelewa nn?? Kuhusu hii?? #docomo #samsungdocomo #japan #s22 #japanese

Phones_distributor
Phones_distributor
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 22 April 2026 10:31:00 GMT
56517
1791
408
18

Music

Download

Comments

directordvan
Director Dvan :
Hiyo ni alama ya NTT Docomo, ambayo ni kampuni kubwa ya mawasiliano (mobile operator) nchini Japani. Ni kawaida sana kwa simu zinazotengenezwa kwa ajili ya soko la Japani kuwa na nembo ya kampuni ya simu badala ya nembo ya Samsung pekee. Hapa kuna mambo machache ya kufahamu kuhusu simu hizi: Asili: Simu hiyo ni halisi (original) lakini ilitengenezwa mahususi kuuzwa nchini Japani kupitia mtandao wa Docomo. Programu (Software): Mara nyingi simu hizi huwaka na nembo ya Docomo na zinakuja na programu (apps) za Kijapani ambazo huwezi kuzifuta kirahisi. Ubora: Ubora wa kioo, kamera, na processor ni ule ule wa Samsung original, wakati mwingine matoleo ya Japani yanakuwa na sifa nzuri zaidi (kama kuzuia maji au teknolojia ya malipo ya Felica).
2026-04-22 20:07:30
39
code_7775
gibsonbeda :
kwenye maduka ya samsung huwez kupata kitu kama hicho.
2026-05-14 11:09:08
4
bravo_man_tz
BRAVO_MAN :
usiweke background ya sauti unapotuma video
2026-09-13 15:05:19
1
adamdejah
Adam DE Jah :
Sio Brand ya Simu: Docomo si jina la kampuni inayotengeneza simu kama Samsung, Sony, au Sharp. Badala yake, ni kampuni ya mtandao wa simu nchini Japan (kama vile Vodacom au Airtel nchini Tanzania)
2026-04-22 14:48:06
15
sabri_magari_tz
S M TZ 📱 :
samsung wanawatengenezea japan brand yao ndio mana wataita docomo ni km kutambulisha soko la japan ila zote ni samsung
2026-09-13 13:59:40
2
panyawamkoni2006
🐍kareem💔jfour✊️45 :
Hiyo ni mikebe
2026-05-07 03:56:49
2
alphonsi_ngowi
alphonsi_ Ngowi :
sio samsung
2026-05-09 21:26:36
1
brand_0g
🧬 BRAND OG. :
me naitumia ila docomo ni the best zaidi kuliko zingine kabisa
2026-06-12 21:24:54
2
ibraah_jl47
𝑰𝑏𝑟𝑎𝑎ℎ_𝒋𝑙 :
hiy s22 shngap
2026-04-24 08:38:53
1
livingstonekitta
Livingstone Kitta :
duh nilikua na waza sana s22 yang ina neno docomo nikajua nimeuziwa feki 🤣😂
2026-04-23 08:33:55
14
jax77550
Jax :
simu ya nchini NTT Docomo nchini Japan. Simu nyingi zenye maandishi "Docomo" zilitengenezwa au kuuzwa kwa ajili ya wateja wa mtandao huo wa Japan.
2026-06-25 05:28:44
3
luxem32
♐️𝐋𝐔𝐱𝐞M♐️ :
aliyeuliza swali mwenyewe MBISHI sana we soma comment tu.....
2026-04-22 20:47:17
3
acce.rexx
ACE REX :
Docomo = si mtengenezaji wa simu; ni kampuni ya mtandao wa Japan inayouza/kusambaza baadhi ya simu za Samsung zikiwa zimeandaliwa kwa mtandao wao.
2026-06-13 22:39:22
2
mshededejordan
mshededejordan :
ina bei gan hiyo?
2026-05-09 23:11:08
1
floxwhite_
Floxwhite🈹️ :
nimekuelewa sana ni kama TOYOTA walivotengeneza LEXUS kwa ajili ya soko la US America.
2026-06-19 08:11:06
1
12giosue
Sir Joshua :
zipo simu za Samsung zilizotolewa kwa mtandao wa Kijapani wa NTT Docomo kwa ushirikiano na Samsung. Kwa mfano, kulikuwa na matoleo kama: Samsung Galaxy S III SC-06D Samsung Galaxy S4 SC-04E Samsung Galaxy Note II SC-02E
2026-06-11 03:22:10
1
teja_wa_soka6
teja wa soka👑 :
hazin utofauti 😁😁watu hawahui tuu
2026-06-02 07:01:43
1
_djommy_tz1
@_Ommy Dj :
hata yangu pia
2026-06-10 05:35:11
1
mbegutrainertz
MBEGU TRAINER✅ :
Docomo co sawa na ya kawaida 👉🏿hata binadam ote tumeumbwa na Mungu ila kuna machizi na wazima kwahy Docomo sawasawa na king'amuzi au mama Amina kifupi nimeeleweka😂😂mi nikikuagza simu ukaniletea Docomo inarud tena kwa gharama zangu
2026-09-13 07:31:41
1
music.laurent1738
trending videos :
samsung yenye udocomo ndani yake😂
2026-05-08 10:58:41
1
gggo.master24
G master⚽️ :
jaman me uyo docomo naomb mumtoe kwenye samsung anashusha brand ya Samsung me mwenyew cwez nunua Samsung docomo
2026-04-23 13:49:15
1
starrise33
StarRise ✨️ :
samsung yenye chapa ya docomo hazina ubora zaid yazile ambazo hazina hiyo lebel,
2026-04-27 05:46:31
1
anuj_tz01
its Leonard :
docomo ni mtandao wa japani kama Vodacom hizo zilitoka kama special oder,mfana kulikuwa na Motorola Vodafone au hz ZTE BLADE za voda na yas
2026-06-02 12:41:46
2
chrissking25
Chriss King Store :
Docomo ni Samsung ya Japan mzee
2026-06-06 11:25:03
1
heis.sleyum
@Sleyum :
Samsung docomo jau aisee haina bixby, haina Samsung messages, haina e sim na 5G yake ni ya uongo sijawah kuona imesoma. kwa vingine vyote iko sawa na Samsung nyingine
2026-05-02 08:45:58
2
To see more videos from user @phones_distributor, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About