subra ni ibada ngumu mno ila huwa inamatokea mazuri tena makubwa mno na matunda yake huwa mema sana.....msichoke jamna kumtia moyo kijana mwenzenu....Mungu atawalipa.....ukaribu wenu kwake ni farja ambayo kwa MUNGU Inaenda kama ibada kamili
2026-04-23 07:30:20
45
Princess Nine :
duuh kila kitu kwa mungu kinawezekan
2026-06-21 14:34:40
1
rahma nihani :
mgojwa ana tabasamu nzuri jmn mungu atamsaidia
2026-06-01 23:37:42
1
أورا جيرل💗🖤 :
Allah awajalie mpendane iv iv milele inshllah mmetok mbali san😫🥹🤲
2026-05-09 17:49:04
9
merry 123 :
pole sana
2026-07-01 08:46:58
1
@Adidy official :
mashaallh nawapend
2026-07-05 17:55:44
1
Zena rajabu :
pole kipenz mungu atakufanyia wepes insha'allah atapona
2026-04-22 17:54:54
17
Miss..🌺🌺 :
Allahuma amyn
2026-07-10 07:50:19
1
zanzibar1 :
wana wamagufuli tunakutakia kheir upone tupo pamoja na wewe kama umesoma naye like hii comment☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2026-04-22 18:33:08
7
yazmina🧕🇸🇴🤍 :
Allah amfanyie wepesi inshaallah
2026-05-23 12:13:05
2
Blessed soul♥️ :
inshallah mwenyezi Mungu yupo pamoja nanyi
2026-06-04 03:20:50
3
Amina AThumani 📿🤲🙏 :
Yaa Allah mjanze nguvu na imani mponye asimame kama mwanzo😭😭🙏🙏🙏🙏