nyie nyie nyie ahaaa nina ushuhuda mie sikutaka chochote kutoka kwake every day nlimuombea mungu amfanyie wepesi katika utftaji wake akikuze kidogo alichonacho kiwe kikubwa zaidi coz alitoka kwenye changamoto so alikuwa amevurugwa hajui afanye nini nikawa kam mfariji kwake mungu akijibu maombi yangu duhhh nasikitika kwamba kwa sasa ameamua kutfta wa level zake naonekana kama sjwahi kuwepo kwenye maisha kila kitu amekisahau ila nimeamua kusamehe na kuacha mungu alipe machoz yangu nmlia sanaaaa coz amnipa disappoint ambayo skutegemea nmkumbusha tu kuwa amwambie alienaye aombe sana coz vitu vyote vilipatikana kwa maomb so avitunze kwa maombi🙏🙏🙏
2026-04-24 11:20:32
87
Kîng-bürės Lė Pro :
Mungu mbariki mke wangu
2026-04-23 18:59:19
168
@ :
Mungu ampe pesa ampe mwanamke mzur lkn akose furah maishani😩😩😩🤲
2026-04-23 14:10:25
83
seda :
umeongea point bro
2026-04-23 09:07:26
9
Mellah Ludo :
Lkn wanatuzalau sana acha dunia iwafunzeee
2026-04-23 08:37:55
58
𝐒𝐀𝐌 𝐄𝐌𝐏𝐈𝐑𝐄 :
Unapochoka, kumbuka Mungu bado anapigana kwa ajili yako UTASHINDA🏆 💪🏽🙏🏽
2026-04-23 14:37:46
36
Bonnke Car Deals :
this goes direct to my lovely wife Fiona Janet. that lady she's very humble ananivumilia sana
2026-04-24 05:15:39
9
Annalymo :
shida tukiwavumilia mnatuona hatuna pa kwenda😁
2026-04-26 14:59:38
23
Kawthar Kawthar1998 :
Correct
2026-04-24 05:08:47
5
mom's dota🥰 :
najikuta nalia dooh alivyopata kazi akasema nimechelewa yeye anaowa 😥😥😭😭
2026-04-23 16:59:40
30
ni 💖💖malaika @🇹🇿👈 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 kweli kaka yangu
2026-04-23 18:08:34
5
madaah :
good bro
2026-04-22 12:16:16
8
ka. mamaa :
hii sauti ufike mbali
2026-04-23 04:21:59
11
user94149829659 :
Daaah umeongea kweli tupu
2026-04-23 11:54:26
5
lightness 🥰💕💫 :
ndo yaliyo nikuta wiki iliyo pita😭🙌
2026-04-23 18:03:11
7
missmnyami 😍 :
wanadharau wakijipata wanatusahau aisee hii dunia🙌
2026-04-23 12:53:49
6
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮𝐫𝐞🇹🇿 :
Usiseme alinivumilia na hakua na kitu kama mimi. Tulivumiliana
2026-04-23 12:56:11
6
mbunge :
yani sina imani tena na mwanaume yyt ktk maisha yangu 🙏🙏🙏🙏
2026-04-24 18:08:53
10
Zulfat :
Nashukuru mungu alinion siyo sasaiv kubadilik anajua umuhim wang namim nilimsamehe kuruhus mengne yaendelee.Kwa kwaheshimaaaaaaa
2026-04-23 18:14:27
7
R❣️G :
mungu bariki muke wangu
2026-04-23 09:54:05
10
Mtamila091 :
Mama G wangu,ishi milele sitokuangusha kamwe,ww ni wa pekee kwangu na katka maombi yangu namuomba M/mungu aniepushe na fitina za dunia 🙏🙏
2026-04-24 18:26:04
5
Gemini ♊️ season :
Umeblock kusave Embu achia tunataka kuweka status bhana 🥺🥺
2026-04-24 07:07:51
8
Zai :
Kwnn umeiblock nilitaka kuweka status
2026-04-23 20:39:25
13
To see more videos from user @mr_sele1, please go to the Tikwm
homepage.